Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! π± Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. π¨πΈπ¬
Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake.
πΌοΈ Photoshop β ku-edit na kuboresha picha
π¨ Firefly β kutengeneza na kubadilisha creative content kwa AI
π¬ Premiere β kusaidia kuandaa na ku-edit video
π Acrobat β kutengeneza na kuandaa PDFs
π± Adobe Express β social media designs
πΈ Lightroom
βοΈ Illustrator
π° InDesign
ποΈ Adobe Stock.
Badala ya kufungua Photoshop, Premiere au Acrobat moja baada ya nyingine, unaweza kumwambia ChatGPT unachotaka kufanya, kisha Adobe tools zinatumika nyuma ya pazia.
Kwa content creators, hii inaweza kuwa game changer kubwa sana! π π¬ Ungependa kujaribu Adobe ndani ya ChatGPT? π
#adobe #chatgptγ§ηζ #openai #photoshop #firefly