Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 355
- 702
Leo wakati tunapiga story na rafiki yangu ambaye urafiki wetu sasa unakaribia miaka 20 tuliongea mambo mengi tu mara baada ya kuhachana miaka 15 iliyopita
Sio kwamba hatuwasiliana naye kabsa hapana siku ya leo ilikuwa ni ya tofauti sana
Kitu ambacho siku zote wala hatujawai kuzungumza ni habari ya maisha ya wokovu mara baada ya shule, maana tumekuwa tukizunguma mambo mengi yanayo husu maisha na namna ya kupambana na changamoto tunazokutana nazo
Kwa sababu mara baada ya kumaliza shule kila mmoja kuenenda katika wito ambao Mungu alimwitia na majukumu ya familia na jamii tumekuwa tunawasiliana kwa mambo ya msingi tu na wakati mwingine kukumbushia juu ya maisha ya shule
Jambo ambalo sikutarajia kwamba linaweza kuwa ajenda ya mazungumzo yetu ni juu ya rafiki zetu ambao tulikuwa nao shuleni ambao wengi walikuwa wameokoka na Kumpa Yesu Maisha kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao
Jambo ambalo rafiki yangu aliniambia na likaniweka katika mtihani ni juu ya ndugu zangu hao ambao wengi wao hama wamehachana na wakovu au wamerudi nyuma katika imani na kumwacha Yesu
Wakati naongea na rafiki yangu huyu,kwa kuwa wengi wa rafiki zetu wako mji mmoja na rafiki yangu huyu na wamekuwa wakionana katika matukio mbalimbali
Kwa masikitiko makubwa rafiki yangu aliniambia maisha ya shule na maisha ya mtaani ni maisha mawili tofauti kwa ndugu zetu hawa
Wakati tunaendelea kuongea , rohoni mwangu kukaingia kitu kutoka kwa roho mtakatifu na machozi yakaanza kunilenga lenga
Sikutaka kuongea sana juu ya ndugu zetu hao, moyoni mwangu ninajua changamoto za wakovu ninazokutana nazo, hivyo nikamwomba Mungu wa Rehema awasaidie na kuwainua na kuwarejesha katika imani
Wakati tumemaliza kuongea nikawa natafakari miaka yangu 15 ya kutembea na Yesu, sio kwamba ni miaka raisi au ni mseleleko
Hayakuwa maisha raisi sana kwangu kwani mwaka mmoja baada ya kuokoka niliingia mtaani kuanza maisha mara baada ya kutoka shule
Kwakweli sikuweza kumwambia rafiki yangu nini kimenifanya kusimama katika imani lakini nachojua haikuwa raisi na wakati mwingine nilikata tamaa katika wokovu lakini Neema ya Mungu haikuwai kuniacha
Sio kwamba nimesimama imara ila nacho jua hiko Neema ya Mungu juu yangu, wakati naendelea kutafajari haya
Nilimwomba Mungu kama atanipa nafasi ya kuandika kitabu juu ya kile ambacho Mungu alinifundisha ili niweze kutembea katika wakovu katika dunia ambayo imejaa kila aina ya tamaa mbaya ambazo kwa kijana ni mlango wa kwenda jehanamu
Yako mambo kadhaa ambayo Mungu amekuwa akinisaidie ili niweze kutembea katika wakovu japokuwa vita ni kali
Mambo hayo nitayaweka hapa kadri Mungu atakavyokuwa ananipa kibali