Mbona hukuuliza iwapo ya Fizoz Bayi ilikuqepo?Salaam wakuu
Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha?
Usiku mwema
Kesho lazimaSalaam wakuu
Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha?
Usiku mwema
Yeah, nahisi hivi hata mimi, yanga ni timu ya CCM kabisa kuanzia boss wao hadi jezi zaoKesho lazima
Ngoja tuone leo kwa 🐸mbona haujauliza kuwa umeona hata bango lake😂😂😂😂😂😂😂😂
Simba sio matako ya mama zao alafu yule camera man aliye muonesha msigwa tuna kazi naye😠😠😠😠😠😠😠😠
Platform ya michezo we ulete siasa!!!???
hihiiii ya jaji kutoka Uganda nga twivapuvaaa!!!
Hatari unaambiwa ila kupiga simu nahisi wameogopa mambo yasije kuwa mengi. ngoja tuangalie tamasha la wananchi wale akili zao nina wasiwasi nao wanaweza kuingia kingSimu haikupigwa Ila kama kawaida lazima chawa wapate point ya kumchomeka boss wao