Moyo wa ajabuKwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
watafutwe waje waprove hapa kama ni wenyew kwelHuyo alovaa mawani kulia ndo Chizi Maarifa na chini yake ni Elevenn
Jamani jamani wabongo mmeambiwa simu imeokotwa. Nyie badala ya kujadiri simu wengine miwani,wengine saa,wengine tishet,wengine muonekano wa hao ulokole. Kweli kweli?Hizo saa za hao wa kiume ni famba au ni kitu og Grahams ? Nashindwa kualewa 🤔
Sijaokota , haya nipe cha kuandika ulichoona ni sahihiJamani jamani wabongo mmeambiwa simu imeokotwa. Nyie badala ya kujadiri simu wengine miwani,wengine saa,wengine tishet,wengine muonekano wa hao ulokole. Kweli kweli?
Kumbe kuna og ya fake mzee😅Hiyo ni original ya fake kutoka China
JF ina watu poa sana. Mtandao wa waliostarabika. Walio mbali na wasiostaarabika kama maccm mauaji na matekaji, watesi wa TaifaKwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
Huyo mchina anatoaga original kwenye fake products zake 😅Kumbe kuna og ya fake mzee😅
Kuna njia nzuri zaidi ya kumpata mwenye simu kama kutumia namba ya simu kuliko hii njia ya kuweka picha za watu kwenye mitandao bila ridhaa yao.Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
Uungwana wa viwango cha juu sanaKwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458