Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
Habari wakuu,
Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes
Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
Habari wana JF.
Siku imekucha na makucha yake.
Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.
Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi.
Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi
Hatua za Haraka
Tulia na...
Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu .
Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password.
Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa kutumika ni ya Mtandao wa Halotel na imesajiliwa kwa jina la Humphrey Herson Polepole.
Kampuni ya...
Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua.
Kila mwezi, jitahidi kutenga siku moja hata kwa masaa 12 ya kuwa peke yako.
Nenda unakojua bila simu, bila...
Kutoka SIM Card Hadi eSIM
Mapambano ya Kidijitali Kuhusu Nani Anayedhibiti Utambulisho Wako
Vipii Umewai kujiuliza Je, Tunamiliki Nambari Zetu za Simu, au Nambari Ndizo Zinatumiliki?
Katika dunia ya leo, nambari ya simu si tena kadi ndogo ya mawasiliano. Ni kitambulisho. Ni alama Yako . Ni...
Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie.
Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts)
Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh)
Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh
Simu nyingi huwa ni 3.7V
Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh:
(Mah * V)
1,000
(4,000 *...
Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
Habari Tanzania !
Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini.
Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda.
Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.