simu

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  2. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  3. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google Assistant unaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗗𝗢𝗕𝗘 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧👋

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! 😱 Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. 🎨📸🎬 Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. 🖼️ Photoshop –...
  8. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania WAIT… What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh 👋 Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  11. jr.kiyn

    JamiiForums Tanzania Simu imeokotwa

    Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Lazima Mpenzi Ajue Password ya Simu Yako?

    Wapo wanaosema kwamba mpenzi anapaswa kujua password ya simu ya mwenzake kwa sababu mahusiano yanajengwa juu ya uwazi na uaminifu. Kwa mtazamo wao, mtu asiye na jambo la kuficha hana sababu ya kukataa kushiriki password yake. Lakini wapo wanaopinga hoja hiyo wakiamini kuwa kuwa kwenye mahusiano...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake. NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simu ambayo imenitoa machozi..

    Leo wakati tunapiga story na rafiki yangu ambaye urafiki wetu sasa unakaribia miaka 20 tuliongea mambo mengi tu mara baada ya kuhachana miaka 15 iliyopita Sio kwamba hatuwasiliana naye kabsa hapana siku ya leo ilikuwa ni ya tofauti sana Kitu ambacho siku zote wala hatujawai kuzungumza ni...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa Kwa Mabenki, Voda Yapata faida Mara 5

    My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka iliyoishia Juni 2026, ikiwa ni zaidi ya mara tano ya kiwango kilichoripotiwa mwaka jana. Faida hiyo...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoanzisha Biashara ya Miamala ya Simu na Huduma Ndogo za Kibenki

    Biashara ya huduma za miamala ya simu na huduma ndogo za kibenki ni miongoni mwa biashara zinazohitajika kila siku. Watu wanahitaji kutuma na kutoa pesa, kuweka fedha, kulipa bili, kununua vifurushi na kufanya malipo mbalimbali. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanahitaji maandalizi mazuri...
  18. 888I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu (Google pixel 9 a/pro)

    Wanajamvi nahitaji simu aina hiyo sasa kila nikipita mitandaoni nakutana na matangazo Cha ajabu Bei ni Chee kweli kweli Hadi zinanitisha mara Tsh 400k mara 350k nikiwasiliana nao wananieleza lipia nusu ukipokea mzigo unakamilisha nimewachek watatu Hadi sasa na wote ujumbe ni huo. This deal is...
  19. INTROVERT MAN

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

    Habarini wakuu, Niko hapa kuomba ushauri . Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
Back
Top Bottom