888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 461
- 575
Wanajamvi nahitaji simu aina hiyo sasa kila nikipita mitandaoni nakutana na matangazo Cha ajabu Bei ni Chee kweli kweli Hadi zinanitisha mara Tsh 400k mara 350k nikiwasiliana nao wananieleza lipia nusu ukipokea mzigo unakamilisha nimewachek watatu Hadi sasa na wote ujumbe ni huo. This deal is too good to be true
Nakuuliza ndiyo utapeli mpya ama ni halisi ?
Nakuuliza ndiyo utapeli mpya ama ni halisi ?