Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,642
109,014
Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani abaki kati yake na Wao kitendo kilichofanya Asubuhi tu Kesho yake Wachezaji hao wapandishwe Bung'o/ Ndege na warejee Makwao.

Natabiri kabla ya Pasaka au baada ya Pasaka ya 2024 Benchika (Mr. Misimamo na Sitaki Upuuzi Kazini) hatokuwa tena Kocha Mkuu wa Simba SC na hasa hasa kwa Matokeo ya Mechi Simba SC na Azam FC na Mechi Mbili za mwisho za Makundi za CAFCL.
 
La usajili sina uhakika nalo, lakini la Benchika kutofika Pasaka Hilo liko Wazi labda Jaribu Tena ajiuzulu ghafla.
 
Huwa sileti Taarifa nisizokuwa na uhakika nazo 100% sawa? Na siwezi kutaja Credible and Reliable Sources wangu ama ndani ya Simba SC, Yanga SC, TFF, Serikalini na Idara Nyeti halafu niwaharibie na kamwe sitokuja kufanya hivyo Abadan kwakuwa nina Miiko yangu na Maadili yangu tukuka ya Kitaaluma na Kitasnia.
 
The King hapa ndipo umuhimu wako unaonekana , jukwaa la michezo linarudi kwenye hadhi yake asante.
Post yako hii jua ya kwamba imewakera na haitapokelewa vyema na HATERS Wapuuzi Mtani wa Taifa, Ubena Zomozi, Prince Luanda, Dr Matola PhD, CAPO DELGADO na Wengineo baadhi.

Otherwise asante sana kwa Credits zako Kwangu na Kuutambua hasa Umuhimu wangu katika hili Jukwaa la Michezo.

Hukuwa peke yako ambaye nimeona mkiandika hapa JamiiForums kuwa Kutokuwepo Kwangu hakika Jukwaa lilidorora na lilikuwa halichangamki pia ila Ashukuriwe Mwenyezi Mungu Hekima za Moderators wa JamiiForums na JamiiForums Founder zimeweza Kunirejesha.

Hakika mwenye Nyota yangu Kali ya Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums na Mdadavuaji na Muibuaji tukuka wa Mada na Taarifa GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nimerejea rasmi.

Yeremia ( Jeremiah ) 1:19.
 
Huna chochote katika uandishi wako patapotea tu wewe
 
Back
Top Bottom