GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,114
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC kwakuwa Uwanja wenye Vigezo vya CAF na hata FIFA kwa sasa kwa Michuano ya Kimataifa ni wa New Amani Complex pekee kwa hapa Kwetu nchini Tanzania.
Hivyo basi GENTAMYCINE narejea Kuwashaurini kama nilivyofanya majuzi hapa hapa JamiiForums kuwa kwa sasa kwa Mechi zenu za Ligi Kuu na FA chagueni Kiwanja Kimoja tu kati ya hivi Viwili cha Sheikh Amri Abedi (Arusha) au Mkwakwani (Tanga), ila msiende Morogoro au Dodoma au Mwanza tafadhalini.
Na hoja Kubwa ambayo Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wataitumia Kuwakatalia Kucheza Zanzibar Mechi zenu za Ligi ni ile ambayo ipo katika Kanuni za Ligi ambayo hata Simba SC yenyewe pia ilishiriki na Kubariki ambayo hairuhusu Klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kucheza Mechi zake za Ligi Kuu na FA huko Kisiwani Zanzibar ila kwa hapa Tanzania popote pale unaweza Kuchagua na Kwenda ilimradi tu hivyo Viwanja vimekidhi Vigezo.
Na pia sababu yangu Binafsi kama GENTAMYCINE ambayo najua itafanya Ombi lenu la kwenda kucheza Mechi zenu za Ligi Kuu na FA Zanzibar likataliwe ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) na hata TFF wanajua Simba SC ukienda huko Mapato mengi yataenda kwa ZFA (Zanzibar) na Wao watapata Mapato/Mawokoto Kidogo/Kiduchu sana.
Kanwe hata iweje nawaomba Simba SC msirejee kabisa kwenda kucheza Azam Complex kwani huo Uwanja umeshafanyiwa mno Mambo mabaya ya Kufuru na Kumuudhi Mwenyezi Mungu na Kitu kibaya sana ambacho Simba SC imefanyiwa katika huo Uwanja kwa Ushirikiano wa Marafiki Wanafiki Wawili Mmoja wa Ilala na mwingine wa Mbagala.
Kazi Kwenu fanyeni nilichoshauri Ok?