Chama asamehewa na Uongozi wa Simba Sc

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.

Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.

Credit-Nassib Mkomwa
 
Mbumbumbu hawajielewi
Wanamsamehe bila ya kukiri kosa na kuomba samahani
Chama ni mkubwa mbumbumbuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hufuatilii habari ndio maana hujui chochote,wenzako tunafahamu tangu wiki mbili zilizopita kuwa Chama aliomba radhi
 
Attachments

  • Screenshot_20240129-233440.png
    Screenshot_20240129-233440.png
    173.8 KB · Views: 3
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo ut

Credit-Nassib Mkomwa
Tunaomba tuone barua yake ya kuomba msamaha
 
Tulisha andika tangu Mwanzo Simba hii ni mbovu Sana hawana uwezo wa kumsimamisha Chama kwakua Chama imethibitika hana mbadala pale Simba.

Kule Zanzibar pengo lake Lili thibitika dhahiri na Wana mechi Ngumu ikiwemo ya Azam inakuja.
Wamepiga hesabu na kugundua ni Bora wapoteze mechi lakini Chama akiwa anacheza kuliko vinginevyo maana itawalea shida kwa mashabiki wa wapuuzi Fc.
 
Yaani kasamehewa bila kuomba radhi?
Uongozi umemwomba radhi ndugu Chama kwa niaba ya wanachama wote naye ameikubali iyo radhi ambayo imeambatana na picha ya viongozi wakiwa na baadhi ya wanachama maarufu wakionekana wamepiga magoti kusisitiza maombiyao ya msamaha.

Chama, pamoja na kuikubali radhi iyo aliyo ombwa ametaka mambo ya kukaa Kambini siku 5/7 Kabla ya mechi yaondolewe haraka.
 
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.

Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.

Credit-Nassib Mkomwa
Wamemsamehe, au wamemgwaya!! Na hasa baada ya timu kuanza kupata matokeo ya kusuasua, tangu walipomsimamisha!!!
 
Baada ya mvutano wa hapa na pale baina ya mchezaji Cletus chama na Simba sc, hatimaye mvutano huo umemalizika baada ya Chama kuamua kuisamehe Simba sc pamoja na uongozi wake. Baada ya uongozi kuketi na kuona timu yao haitaweza kusonga mbele bila Chama ambaye ndiye nguzo kuu kwao, uongozi umeamua kumpigia magoti kinda huyo ili aweze kurejea. Inasemekana amerudi ila kwa masharti makali sana ambayo ameahidiwa kutekelezewa. Kiongozi mmojawapo akizungumza, amesema wanamshukuru sana Chama kwani bila kuwasamehe hawajui wangecheza vipi bila yeye na kwamba msamaha huo ni neema kwa uongozi mashabiki pamoja na timu nzima.Pia wamesema hawatarudia tena kumjaribu kwani wao kama Binadamu wanakosea pia.
 
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.

Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.

Credit-Nassib Mkomwa
Kuna kibonzo mtandaoni inayosha sana kujua CCC mkubwa kuliko taasisi ya Thimba
 
Back
Top Bottom