Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
22,031
39,226
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza vipaji na kuuza ikiwa ni ndogo sana kwenye soka la Africa. Na ikiwepo timu maiti kabisa ya J' Gallaxy ya Botswana kwa maana hiyo ilikuwa ni kundi dhaifu kuliko makundi yote ni Simba yenyewe ilichelewa kufuzu tu.' Alex Ngereza

✍🏻Kiukweli tu, Yanga amevuka katika hatua hii kwa kishindo hari ambayo hakuna hata mmoja ambae alitegemea, kila mmoja alitegemea kabisa wale waarabu wawili ndio watakaofanikiwa kuvuka kuelekea hatua ya robo fainal, Haijawahi kutokea katika soka letu timu yetu kupangwa katika kundi gumu kama alilokuwa amepangwa Yanga na ingekuwa ni simba ndo kapangwa katika kundi hilo basi naamini habari yake ingeishia makundi tena huenda kwa kuburuza mkia au kupata angalau point Nne kwenye uwanja wa nyumbani.

Yanga angelikuwa amepangwa katika kundi alilokuwepo simba basi angemaliza akiwa kinara tena kwa point nyingihuenda kuliko timu yoyote katika makundi yote maana kundi la simba lilikuwa na timu zote nyepesi.
 
Mimi binafsi nilikuwa mpenzi na shabiki wa simba.

Niliamua kuachana na Ushabiki unazi na Uanachama kwasababu kadhaa wa kadhaa.

SIMBA INAZIDI KUPOROMOKA SIKU HADI SIKU.

WACHEZAJI WENGI NI WAZEE.

WACHEZAJI WENGI NI MAGALASA.

SAJILI ZIMEJAA 10%

MUWEKEZAJI NDIO CHIZI KABISA
 
Kwahiyo miaka 5 Simba iliyofuzu yote ilipangiwa makundi mepesi?
Kichaa tu huyo
709624441.jpg
 
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza vipaji na kuuza ikiwa ni ndogo sana kwenye soka la Africa. Na ikiwepo timu maiti kabisa ya J' Gallaxy ya Botswana kwa maana hiyo ilikuwa ni kundi dhaifu kuliko makundi yote ni Simba yenyewe ilichelewa kufuzu tu.' Alex Ngereza

✍🏻Kiukweli tu, Yanga amevuka katika hatua hii kwa kishindo hari ambayo hakuna hata mmoja ambae alitegemea, kila mmoja alitegemea kabisa wale waarabu wawili ndio watakaofanikiwa kuvuka kuelekea hatua ya robo fainal, Haijawahi kutokea katika soka letu timu yetu kupangwa katika kundi gumu kama alilokuwa amepangwa Yanga na ingekuwa ni simba ndo kapangwa katika kundi hilo basi naamini habari yake ingeishia makundi tena huenda kwa kuburuza mkia au kupata angalau point Nne kwenye uwanja wa nyumbani.

Yanga angelikuwa amepangwa katika kundi alilokuwepo simba basi angemaliza akiwa kinara tena kwa point nyingihuenda kuliko timu yoyote katika makundi yote maana kundi la simba lilikuwa na timu zote nyepesi.
Haiondoi facts kwamba simba yupo robo fainali
 
Yeah, inaonesha Simba kapangwa na timu dhaifu kwa misimu minne mfululizo.

Haiwezekani Simba ifike sehemu mpaka waitwe MWAKAROBO wakati Yanga wanapiga hatua za kisukuma...utasikia 1970, 1998, 2024

Dhahiri shairi, Karia anafanya mipango ya kuibeba Simba kule klabu bingwa
Achana na hao misukule
 
Huku Yanga kuna mademu wakali sana. Mimi sihamu Yanga maana najilia tu. Sema na wale "Ndo basi tena" nao wapo siku hizi ndo wanaharibu sana team yangu ya Yanga. Anyway... Tutaendelea kuwatesa Simba kwa kutumia hawa mademu zetu. Wakipenda wanapenda sana huwa hata hawatumii akili.
 
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza vipaji na kuuza ikiwa ni ndogo sana kwenye soka la Africa. Na ikiwepo timu maiti kabisa ya J' Gallaxy ya Botswana kwa maana hiyo ilikuwa ni kundi dhaifu kuliko makundi yote ni Simba yenyewe ilichelewa kufuzu tu.' Alex Ngereza

Kiukweli tu, Yanga amevuka katika hatua hii kwa kishindo hari ambayo hakuna hata mmoja ambae alitegemea, kila mmoja alitegemea kabisa wale waarabu wawili ndio watakaofanikiwa kuvuka kuelekea hatua ya robo fainal, Haijawahi kutokea katika soka letu timu yetu kupangwa katika kundi gumu kama alilokuwa amepangwa Yanga na ingekuwa ni simba ndo kapangwa katika kundi hilo basi naamini habari yake ingeishia makundi tena huenda kwa kuburuza mkia au kupata angalau point Nne kwenye uwanja wa nyumbani.

Yanga angelikuwa amepangwa katika kundi alilokuwepo simba basi angemaliza akiwa kinara tena kwa point nyingihuenda kuliko timu yoyote katika makundi yote maana kundi la simba lilikuwa na timu zote nyepesi.
Alex ngereza huyuhuyu msemaji wa mbunge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika kundi la Simba yeye alikua kama giant katika giants 2...na vibonde 2...ndo maana mnaona ilikua rahisi..Yanga ilikua na giants 2..yenyewe uto na mediama ndo walikua vibonde...kwa ssb yenyewe ilikua kibonde lazima ione kundi gumu..
 
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza vipaji na kuuza ikiwa ni ndogo sana kwenye soka la Africa. Na ikiwepo timu maiti kabisa ya J' Gallaxy ya Botswana kwa maana hiyo ilikuwa ni kundi dhaifu kuliko makundi yote ni Simba yenyewe ilichelewa kufuzu tu.' Alex Ngereza

Kiukweli tu, Yanga amevuka katika hatua hii kwa kishindo hari ambayo hakuna hata mmoja ambae alitegemea, kila mmoja alitegemea kabisa wale waarabu wawili ndio watakaofanikiwa kuvuka kuelekea hatua ya robo fainal, Haijawahi kutokea katika soka letu timu yetu kupangwa katika kundi gumu kama alilokuwa amepangwa Yanga na ingekuwa ni simba ndo kapangwa katika kundi hilo basi naamini habari yake ingeishia makundi tena huenda kwa kuburuza mkia au kupata angalau point Nne kwenye uwanja wa nyumbani.

Yanga angelikuwa amepangwa katika kundi alilokuwepo simba basi angemaliza akiwa kinara tena kwa point nyingihuenda kuliko timu yoyote katika makundi yote maana kundi la simba lilikuwa na timu zote nyepesi.
Simba na al ahly walicheza mwanzo wa msimu huu michezo miwili nje na ndani na haikufungwa lakini yanga aliambulia sare na kupigwa kimoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom