Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
Screenshot_20240303-083458.png

Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13

Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8

Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0

Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
 
Kufuzu ni kufuzu haijalishi unafuzu kwa point ngapi. Ivory coast alifuzu akiwa na point 3 pekee lakini mwisho wa siku akabeba kombe.
 
Maana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
 
Mimi ni kolo nna uhakika Yanga anvepangwa kundi letu angeongoza kwa zaidi ya point 12.
 
Maana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Kama ni gumu Al ahly katoa wapi point 12,kundi gumu huwa ni mpaka mechi ya mwisho ndio huwa inaamua matokeo sio mshindi anajulikana mechi mbili kabla
 
View attachment 2922780

Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13

Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8

Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0

Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
Na kundi la yanga ndio litakalotoa bingwa wa iyo michuano uku kundi la Simba lote likiishia robo fainali, iyo Ina maana kundi la yanga ndio kilikuwa kundi gumu zaidi!
 
Bingwa wa Afcon 2023 katika group stage
Screenshot_2024-03-03-10-10-34-96_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Na kundi la yanga ndio litakalotoa bingwa wa iyo michuano uku kundi la Simba lote likiishia robo fainali, iyo Ina maana kundi la yanga ndio kilikuwa kundi gumu zaidi!
we sema Ahaly ana Nafasi ya kuchukua Ubigwa kwa sababu ya Rekodi zake ila usime Kundi la Yanga litoa Bigwa kwamba Na nyinyi Yanga mtachukua Ubigwa wepesi wa Kundi la Simba unatoka wapi wakati Wayda msimu uliopita katoka kucheza fainali galaxy Ndani ya Misimu mitatu kacheza group stage mara Mbili 2021/22 na 2023/24 Asec karibu kila msimu anacheza michuano ya CAF wew Yanga una misimu mingapi hujacheza makundi ya ligi ya mabigwa
 
Kufuzu ni kufuzu haijalishi unafuzu kwa point ngapi. Ivory coast alifuzu akiwa na point 3 pekee lakini mwisho wa siku akabeba kombe.
Kumbe kufuzu ni kufuzu tu, sasa mlichokuwa mnajisifia mmefuzu huku mna mechi mkononi hiyo mechi imewasaidia nini?
 
Kilichoshangiliwa ni kukataa tiketi ya robo fainali mapema kabla ya mechi ya mwisho. Mbona vitu vidogo tu unavifanya viwe vigumu kuelewa?
 
Maana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Ngumu wapi bhana,mgumu hapo ni Al Ahly tu,hii ni club bingwa hakuna kundi ambalo siyo ngumu msitafute visingizio
 
Maana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Bingwa safari hii ni mamelod.Na nimeota atacheza fainali na Simba ya Tanzania.ni ndoto lakini.
 
Back
Top Bottom