Simba kelele nyingi kumfunga kibonde Jwaneng lakini kumbukeni kundi dhaifu kuliko yote lilikuwa kundi lenu

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
618
1,567
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi.

Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa droo nyumbani na ugenini na Simba, wydad ata nisipoiongelea Kila mtu anajua majanga yake, Simba yenyewe kapata ushindi wa pili Jana baada ya mechi 5, jwaneng ndio Kama ivyo ni sawa na nyongeza ya nyanya mbovu.

Ninachotaka kusema hapa Simba wasisherehekee sana ushindi wa goli 6 kwa jwaneng Bali wajiandae vilivyo na robo fainali kwakuwa kule awaendi kukutana na wakina jwaneng Tena, kikosi Chao bado kina MAPUNGUFU mengi sana ya kiufundi, wakiambiwaga wanatoa mapovu Kama yote, awataki kubadilika na kukubali ukweli!
Na kwenye kundi la Simba lote mwisho wao ni robo fainali mkubali mkatae.

Mpira ni mchezo wa wazi tumeangalia mechi za makundi yote na kundi la Simba akuna timu itaweza kutoboa mbele ya Petro atretico, Mamelod, Wala Aly ahly!

Asec mimosas atoweza kutoboa mbele ya TP Mazembe, Etour du Sahel Wala yanga! Yanga kiufundi wako vizuri sana kuliko Simba ivyo Wana uwezo wa kutoboa robo fainali mbele ya Petro atretico, Asec mimosas!

Tunaoangalia pia ubora wa timu kwenye makundi husika na ushindani wao ulivyokuwa, Yanga alikuwa kwenye kundi la mabingwa wa kiarabu wawili, Aly ahly na Belouzdad ambao kwa misimu mitatu mtawalia wametoboa robo fainali ya klabu bingwa, uku kwenye rank za caf Aly ahly akiwa nafasi ya kwanza na Belouzdad akiwa nafasi ya 7, na ni mabingwa wa nchi zao mfululizo.

Medeama pia ni bingwa wa Ghana, kwa maana iyo yanga alikuwa na kibarua kizito kupenya robo fainali ukilinganisha na Simba, lakini kapenya akiwa na kiwango Bora pia na Cha uhakika. Laiti Kama ingekuwa Simba ndio ipo kundi la yanga Sasa hivi wangekuwa nje ya michuano.

Na yanga angekuwa kundi la Simba angeongoza kundi kiroho Safi. Hivyo basi Simba wajiandae vizuri na robo fainali wasibweteke na goli 6 walizoifunga Ruvu shooting ya Botswana wakati huo huo wakiroga ata timu iliyokwishajifia.

POVU NI RUKSA KWA VIJANA WA MANGUNGU LAKINI ALIONDOI UKWELI WA MAMBO!
 
Sawa jwaneng ni dhaifu.vp utopolo aliyefungwa na al ahly nao ni dhaifu?
 
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi!
Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa droo nyumbani na ugenini na Simba, wydad ata nisipoiongelea Kila mtu anajua majanga yake, Simba yenyewe kapata ushindi wa pili Jana baada ya mechi 5, jwaneng ndio Kama ivyo ni sawa na nyongeza ya nyanya mbovu!
Ninachotaka kusema hapa Simba wasisherehekee sana ushindi wa goli 6 kwa jwaneng Bali wajiandae vilivyo na robo fainali kwakuwa kule awaendi kukutana na wakina jwaneng Tena, kikosi Chao bado kina MAPUNGUFU mengi sana ya kiufundi, wakiambiwaga wanatoa mapovu Kama yote, awataki kubadilika na kukubali ukweli!
Na kwenye kundi la Simba lote mwisho wao ni robo fainali mkubali mkatae!
Mpira ni mchezo wa wazi tumeangalia mechi za makundi yote na kundi la Simba akuna timu itaweza kutoboa mbele ya Petro atretico, Mamelod, Wala Aly ahly!
Asec mimosas atoweza kutoboa mbele ya Tp mazembe, Etour du Sahel Wala yanga!
Yanga kiufundi wako vizuri sana kuliko Simba ivyo Wana uwezo wa kutoboa robo fainali mbele ya Petro atretico, Asec mimosas!
Tunaoangalia pia ubora wa timu kwenye makundi husika na ushindani wao ulivyokuwa, Yanga alikuwa kwenye kundi la mabingwa wa kiarabu wawili, Aly ahly na Belouzdad ambao kwa misimu mitatu mtawalia wametoboa robo fainali ya klabu bingwa, uku kwenye rank za caf Aly ahly akiwa nafasi ya kwanza na Belouzdad akiwa nafasi ya 7, na ni mabingwa wa nchi zao mfululizo!
Medeama pia ni bingwa wa Ghana, kwa maana iyo yanga alikuwa na kibarua kizito kupenya robo fainali ukilinganisha na Simba, lakini kapenya akiwa na kiwango Bora pia na Cha uhakika!
Laiti Kama ingekuwa Simba ndio ipo kundi la yanga Sasa hivi wangekuwa nje ya michuano!
Na yanga angekuwa kundi la Simba angeongoza kundi kiroho Safi!
Hivyo basi Simba wajiandae vizuri na robo fainali wasibweteke na goli 6 walizoifunga Ruvu shooting ya Botswana wakati huo huo wakiroga ata timu iliyokwishajifia!

POVU NI RUKSA KWA VIJANA WA MANGUNGU LAKINI ALIONDOI UKWELI WA MAMBO!
Kwani Yanga imeshinda mechi ngapi
 
Pole sana, kipigo kapewa Jwaneng lakini milio inatokea Jangwani

OIG (21).jpeg
 
Kweli kabisa.
 
Ndani ya Misimu mitatu Jawaneng kashiriki kwenye Group stage mara Mbili wew ambaye kila mwaka tulikua Tunakabeba Ndani ya Misimu sita umeshiriki kwenye Group stage mara moja uyo Muarabu Msimu ulioisha katoka kucheza final Asec anajulikina karibu kila Msimu lazima acheze michuano ya CAF unajilinganisheje Na wew
hawa ni kuwasamehee tyuuh.
Majini uchwara ya Avic town yanawaharibu akilii.
 
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi!
Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa droo nyumbani na ugenini na Simba, wydad ata nisipoiongelea Kila mtu anajua majanga yake, Simba yenyewe kapata ushindi wa pili Jana baada ya mechi 5, jwaneng ndio Kama ivyo ni sawa na nyongeza ya nyanya mbovu!
Ninachotaka kusema hapa Simba wasisherehekee sana ushindi wa goli 6 kwa jwaneng Bali wajiandae vilivyo na robo fainali kwakuwa kule awaendi kukutana na wakina jwaneng Tena, kikosi Chao bado kina MAPUNGUFU mengi sana ya kiufundi, wakiambiwaga wanatoa mapovu Kama yote, awataki kubadilika na kukubali ukweli!
Na kwenye kundi la Simba lote mwisho wao ni robo fainali mkubali mkatae!
Mpira ni mchezo wa wazi tumeangalia mechi za makundi yote na kundi la Simba akuna timu itaweza kutoboa mbele ya Petro atretico, Mamelod, Wala Aly ahly!
Asec mimosas atoweza kutoboa mbele ya Tp mazembe, Etour du Sahel Wala yanga!
Yanga kiufundi wako vizuri sana kuliko Simba ivyo Wana uwezo wa kutoboa robo fainali mbele ya Petro atretico, Asec mimosas!
Tunaoangalia pia ubora wa timu kwenye makundi husika na ushindani wao ulivyokuwa, Yanga alikuwa kwenye kundi la mabingwa wa kiarabu wawili, Aly ahly na Belouzdad ambao kwa misimu mitatu mtawalia wametoboa robo fainali ya klabu bingwa, uku kwenye rank za caf Aly ahly akiwa nafasi ya kwanza na Belouzdad akiwa nafasi ya 7, na ni mabingwa wa nchi zao mfululizo!
Medeama pia ni bingwa wa Ghana, kwa maana iyo yanga alikuwa na kibarua kizito kupenya robo fainali ukilinganisha na Simba, lakini kapenya akiwa na kiwango Bora pia na Cha uhakika!
Laiti Kama ingekuwa Simba ndio ipo kundi la yanga Sasa hivi wangekuwa nje ya michuano!
Na yanga angekuwa kundi la Simba angeongoza kundi kiroho Safi!
Hivyo basi Simba wajiandae vizuri na robo fainali wasibweteke na goli 6 walizoifunga Ruvu shooting ya Botswana wakati huo huo wakiroga ata timu iliyokwishajifia!

POVU NI RUKSA KWA VIJANA WA MANGUNGU LAKINI ALIONDOI UKWELI WA MAMBO!
Umeandika mineno miingii kwa sababu Simba kushinda goli sita kwa nunge au ni vijihasira vya kijinga vinavyoambatana na wivu,
 
Yanga kashinda mechi ngapi hatua ya makundi?
 
Back
Top Bottom