Msemaji wa Simba Ahmed Ally ni balaa

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,158
33,378
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani.

Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu.
Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa.

Ahmed sio msemaji au afsa habari wa masuala ya uchumi,wala ulinzi na usalama,wala sio msemaji wa Bunge au msemaji wa Ikulu.

Kwa kifupi sio msemaji wa masuala ya kiserikali au kampuni,Bali ni msemaji wa club ya mchezo wa Mpira.

Huyu jamaa mbali na kua ni afsa
habari au msemaji wa Simba Bali pia ameonesha kua na kipaji kikubwa Cha kuhamasisha,kuburudisha na lufurahisha.
Ahmed Ally ni bonge la Entertainer.

Kwa muda mfupi aliokaa kwenye nafasi hio ameitendea vema kabisa,ameipa umaarufu na yenyewe imempa umaarufu.
Kwa kifupi jamaa huyu amekua ndio msemaji anaenifurahisha hapa Tanzania Kwa upande wa vilabu kuliko msemaji yoyote.

Amewapiku wasemaji mahili na waliokua vivutio kwa kuwasikia kama akina Thobias Kifaru Ligalambwike,Masau Bwire,Mara Haji na wengi wengineo.
Ni ukweli usio na shaka Ahmed amekua Maarufu zaidi kuliko wengine.

Sababu kubwa zilizomfanya apate umaarufu Kwa haraka ni ubunifu,maneno yenye masihala mengi,utani na utundu binafsi na bashasha nyinginezo.

Ahmed Ali sio msemaji wa majanga au misiba,Bali ni msemaji wa michezo na katika michezo hususan mchezo wa mpira Kuna utani mwingi,vijembe,mbwembwe,majivuno na mikwara,nadhani jamaa ameitendea haki nafasi hii.

Huyu jamaa ni mburudishaji,ni mfurahishaji na ni mchekeshaji na hii ndio Raha ya michezo kwani michezo ni furaha sio uadui.

Kwa Sasa ndio msemaji kivutio kwa waandishi na wasikilozaji,ana uwezo wa kukusanya mashabiki na kuwaeleza jambo na wakamtii hii nayo ni kipaji kikubwa.

Ukiwa mgeni kwa huyu bwana unaweza kudhani ana bifu Kali sana na wasemaji wa timu pinzani lkn kumbe sio.

Watu kama Hawa ni muhimu katika kukuza michezo kwani wanakua na wafuasi wengi.

Watu kama Hawa hua wanafaa sana Kwa jamii,kwani hutumika kwa ajili ya kupeleka taarifa haraka kwa jamii.
 
Hujakosea...kuwepo kwa Ahmed Ally wafuasi wameongezeka..Instagram..watsup,utube,tweeter au X...n.k...
Hapa watasema ooh hajanyanyua kwapa au kombe..kwani yy ni benchi la ufundi? Yeye ni muhamasishaji na msemaji..yy watu wake ni mashabiki wanaitikaje? Kwa hilo kafanikiwa...
 
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani.

Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu.
Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa.

Ahmed sio msemaji au afsa habari wa masuala ya uchumi,wala ulinzi na usalama,wala sio msemaji wa Bunge au msemaji wa Ikulu.

Kwa kifupi sio msemaji wa masuala ya kiserikali au kampuni,Bali ni msemaji wa club ya mchezo wa Mpira.

Huyu jamaa mbali na kua ni afsa
habari au msemaji wa Simba Bali pia ameonesha kua na kipaji kikubwa Cha kuhamasisha,kuburudisha na lufurahisha.
Ahmed Ally ni bonge la Entertainer.

Kwa muda mfupi aliokaa kwenye nafasi hio ameitendea vema kabisa,ameipa umaarufu na yenyewe imempa umaarufu.
Kwa kifupi jamaa huyu amekua ndio msemaji anaenifurahisha hapa Tanzania Kwa upande wa vilabu kuliko msemaji yoyote.

Amewapiku wasemaji mahili na waliokua vivutio kwa kuwasikia kama akina Thobias Kifaru Ligalambwike,Masau Bwire,Mara Haji na wengi wengineo.
Ni ukweli usio na shaka Ahmed amekua Maarufu zaidi kuliko wengine.

Sababu kubwa zilizomfanya apate umaarufu Kwa haraka ni ubunifu,maneno yenye masihala mengi,utani na utundu binafsi na bashasha nyinginezo.

Ahmed Ali sio msemaji wa majanga au misiba,Bali ni msemaji wa michezo na katika michezo hususan mchezo wa mpira Kuna utani mwingi,vijembe,mbwembwe,majivuno na mikwara,nadhani jamaa ameitendea haki nafasi hii.

Huyu jamaa ni mburudishaji,ni mfurahishaji na ni mchekeshaji na hii ndio Raha ya michezo kwani michezo ni furaha sio uadui.

Kwa Sasa ndio msemaji kivutio kwa waandishi na wasikilozaji,ana uwezo wa kukusanya mashabiki na kuwaeleza jambo na wakamtii hii nayo ni kipaji kikubwa.

Ukiwa mgeni kwa huyu bwana unaweza kudhani ana bifu Kali sana na wasemaji wa timu pinzani lkn kumbe sio.

Watu kama Hawa ni muhimu katika kukuza michezo kwani wanakua na wafuasi wengi.

Watu kama Hawa hua wanafaa sana Kwa jamii,kwani hutumika kwa ajili ya kupeleka taarifa haraka kwa jamii.

Hivi kwa nini mashabiki wanashindwa tofautisha ushabiki na facts?
 
Kisauti simfagiliii sababu kuna mda analeta utani kwenye serious issue.

Ila kiutendaji wa nafasi yake anajitahidi sana Hebu imagine simba hii ambayo haina mafanikio ila amemanage morale ya wapenzi na washabiki kwa kiasi kikubwa

Assume kwa perfomance kama ya Uto uwe na Semaji kam ahmed,..

Ila apunguze kubana saut
 
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani.

Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu.
Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa.

Ahmed sio msemaji au afsa habari wa masuala ya uchumi,wala ulinzi na usalama,wala sio msemaji wa Bunge au msemaji wa Ikulu.

Kwa kifupi sio msemaji wa masuala ya kiserikali au kampuni,Bali ni msemaji wa club ya mchezo wa Mpira.

Huyu jamaa mbali na kua ni afsa
habari au msemaji wa Simba Bali pia ameonesha kua na kipaji kikubwa Cha kuhamasisha,kuburudisha na lufurahisha.
Ahmed Ally ni bonge la Entertainer.

Kwa muda mfupi aliokaa kwenye nafasi hio ameitendea vema kabisa,ameipa umaarufu na yenyewe imempa umaarufu.
Kwa kifupi jamaa huyu amekua ndio msemaji anaenifurahisha hapa Tanzania Kwa upande wa vilabu kuliko msemaji yoyote.

Amewapiku wasemaji mahili na waliokua vivutio kwa kuwasikia kama akina Thobias Kifaru Ligalambwike,Masau Bwire,Mara Haji na wengi wengineo.
Ni ukweli usio na shaka Ahmed amekua Maarufu zaidi kuliko wengine.

Sababu kubwa zilizomfanya apate umaarufu Kwa haraka ni ubunifu,maneno yenye masihala mengi,utani na utundu binafsi na bashasha nyinginezo.

Ahmed Ali sio msemaji wa majanga au misiba,Bali ni msemaji wa michezo na katika michezo hususan mchezo wa mpira Kuna utani mwingi,vijembe,mbwembwe,majivuno na mikwara,nadhani jamaa ameitendea haki nafasi hii.

Huyu jamaa ni mburudishaji,ni mfurahishaji na ni mchekeshaji na hii ndio Raha ya michezo kwani michezo ni furaha sio uadui.

Kwa Sasa ndio msemaji kivutio kwa waandishi na wasikilozaji,ana uwezo wa kukusanya mashabiki na kuwaeleza jambo na wakamtii hii nayo ni kipaji kikubwa.

Ukiwa mgeni kwa huyu bwana unaweza kudhani ana bifu Kali sana na wasemaji wa timu pinzani lkn kumbe sio.

Watu kama Hawa ni muhimu katika kukuza michezo kwani wanakua na wafuasi wengi.

Watu kama Hawa hua wanafaa sana Kwa jamii,kwani hutumika kwa ajili ya kupeleka taarifa haraka kwa jamii.
Tyry again Jana wakati anahojiwa na kituo Cha redio Cha EFM akiwa ana laumu kitendo Cha kocha wa Galaxy kuongea maneno ya shombo.
Na mnukuu: Maneno yaliyo ongelewa na Kocha wa Galaxy ni ya hovyo na un professional yalitakiwa yaongewe na Afisa habari wa klabu na si kocha.

Maana yake uongozi wa Simba kwa picha kubwa unamuona Ahmed Ally kama mtu wa hovyo anaye stahili kuongea chochote Cha hovyo kwa ilimradi awafurahishe waajiri wake iyo ndio status ya Afisa habari wa Simba na majukumu yake.

Sasa kama Ahmed Ally amewekwa katika daraja ilo na mwajili wake sisi tusemeje ndugu mbumbumbu!!
Ahmed Ally yupo katika kundi la wasema hovyo wa klabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom