Upinzani wa kimpira wa Yanga na Simba ni wenye manufaa na wakuigwa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,480
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali

Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili

Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa Mashariki

Tunaomba waendelee na upinzani na utani huo mzuri wa jadi mpaka hapo moja ya timu hizi mbili zitakpofaninikwa kuleta kombe nyumbani

Kila la kheri kwa Yanga na Simba
 
Kwanza Young Africans Msimu Huu Tunaenda Semifinals Hawa Jamaa Zetu Wataanza Majungu Na Figisu.

Dar Young Africans Road To Final CAFCL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom