Simba Sc mchukueni Bruno Gomez

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
314
877
Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo.
Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo mshapu wa kupandisha timu kwa haraka inapoenda kushambulia, hivyo nafasi ya Gomes ni ya muhimu sana hapo unyamani.

Ngoma na Barbacar Sarr ni wazuri ila wanafaa kucheza kiungo ya chini kwa sababu wako slow sana kwenye kufanya maamuzi nyakati za ushambuliaji. Hivyo combinations ya Babacar sarr, Ngoma na Bruno gomes katikati, Simba itatisha sana huku Chama na miqueson wakicheza kama viungo wakitokea pembeni hii itakuwa balaa zito.

Mafanikio katika mpira ni namna unavyo kuwa na wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa wa ku hold mpira mguuni huku wakimfuta adui kwa spidi kali hapo lazima adui aombe poo.
 
mchezaji mzuri mwenye kuathiriwa na aina ya timu. Akielekea Simba atawika.
 
Back
Top Bottom