simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

    Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
  2. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa ufanye hivi, unapokutana na simba uso kwa uso

    Mh, tuombee isitokee, lakini kama imetokea na umekutana naye ili asikudhuru unatakiwa ufanye kitu hiki ni kigumu lakini unatakiwa ukifanye: Simama mwangalie macho kwa macho huku ukiondoa hofu!!! Simba humuogopa binaadamu hivyo atakupa hiyo heshima endapo usipomuonyesha hofu!!!!! Utaweza...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

    Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona. Tulipocheza nao tulifungwa...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

    Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania. Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm. Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
  5. enzo1988

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba hapo vipi??

    Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Simba mnatuchukuliaje wanachama na mashabiki?

    Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga. Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu? Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
  7. pilato93

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

    Habari ya muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya simba 2023/2024

    Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu Mafanikio mengi ni kama yafuatayo kufungua whatsApp channel Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume Kuchukua...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  12. John Gregory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekuwaje Simba wameweza kumvumilia Manula?

    Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi! Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora Taifa Stars icheze Leo tuone wachezaji wa Simba

    Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
  15. jmushi1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

  16. mtwa mkulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu kubwa ya Simba yasajili kinda wa miaka 26 tuu

    Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
  17. Objective football

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  18. jmushi1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yasajili forward Freddy Michael Kouablan kutoka Ivory Coast

    Simba Confirmed new Sign of Striker. Simba has strengthened its ranks by officially confirming the signing of a talented striker from the Green Eagles. This player has gained recognition for his incredible goal-scoring ability, characterized by powerful shots and good headers. His ability to...
  19. Scars

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

    Ametokea timu ya Green Eagles kwenye ligi ya Zambia. Kwenye mechi 16 kafunga magoli 14
  20. Mshuza2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
Back
Top Bottom