Mr Alpha
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 195
- 522
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.
Kama sio simba iliyo katika mpito basi Jwaneng Galaxy leo huenda wangekumbana na dhahama kubwa mara mbili ya kilichowapata leo.
Kuna magoli kama matano ya wazi simba imekosa matatu kakosa clatous chama, jobe 1 na kibu 1
Kwa matokeo haya simba imeweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mara nyingi huwa wanafuzu simba peke yao miaka yote hivyo mwaka huu Yanga wameosha nyota pia
Simba bado inahitaji teamwork kuweza kupata matokeo mazuri hatua ya robo fainali bado muunganiko sio mzuri sana kuna ubinafsi mwingi sana wachezaji wengi maamuzi ya mwisho kati ya assist na kufunga hawajui cha kufanya kwa wakati muafaka (poor timing)
Maamuzi sahihi katika nafasi ya umaliziaji leo imewanyima simba ushindi mnono kuliko walioupata Anyway hongera sana simba na Yanga