Quarter final ya Simba ni hatari

SEMI FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku 😅😅

Likewise kwa Yanga....

Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...

Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
 
Sio ushabiki . Wewe una hisi Nani hapo anafungwa

Mechi yoyote atayopangiwa ama Simba au Yanga itakuwa ngumu...

1. Wote watakutana na timu zilizoongoza makundi, Sundowns, Asec wakiwa wamepoteza mchezo 1 pekee, Asec na Ahly wakiwa hawajapoteza mchezo.

2. Simba na Yanga ndio washindi wa pili wenye points chache, inaweza ikawa ni ugumu wa makundi yao au uwezo wa timu si mzuri kulingana na opponents waliokutana nao

3. Hii ndio mbaya zaidi, timu zetu zinaanzia game nyumbani na kwenda kumalizia ugenini na tukiwa away hatujakuwa na rekodi nzuri...
Rekodi ya Simba ugenini, droo 2 na kufungwa 1
Rekodi ya Yanga ugenini, droo 1 na kafungwa 2
 
Likewise kwa Yanga....

Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...

Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
Nimefurahi sana kwa hili
 
Mechi yoyote atayopangiwa ama Simba au Yanga itakuwa ngumu...

1. Wote watakutana na timu zilizoongoza makundi, Sundowns, Asec wakiwa wamepoteza mchezo 1 pekee, Asec na Ahly wakiwa hawajapoteza mchezo.

2. Simba na Yanga ndio washindi wa pili wenye points chache, inaweza ikawa ni ugumu wa makundi yao au uwezo wa timu si mzuri kulingana na opponents waliokutana nao

3. Hii ndio mbaya zaidi, timu zetu zinaanzia game nyumbani na kwenda kumalizia ugenini na tukiwa away hatujakuwa na rekodi nzuri...
Rekodi ya Simba ugenini, droo 2 na kufungwa 1
Rekodi ya Yanga ugenini, droo 1 na kafungwa 2
Ulichoongea hapa ni kweli na data sio ushabiki maandazi kama wengine. Haya mashindano sio mepesi Ila timu zetu zinakuwa🙏🏼.
 
SEMI FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku
Hizo mechi za Quarter final zimechezwa lini hadi uandike mechi za semi final? Yaani unawaza semi final wakati hata timu hazijajua zitacheza na nani quarter final
 
SEMI FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku 😅😅
Mwisho wake ndio huo, uwezo wa kwenda mbele kwa aina ya wachezaji alionao ni mdogo, Kama tu kashindwa ata kuongoza kundi la timu dhaifu wakina jwaneng, whdad, Asec mimosas ataweza kufurukuta kwenye robo fainali? Ni ngumu sana Simba kufuzu nusu fainali ni Kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,
Kiufundi bado wako ovyo sana wasijione wamejipata kwa kumfunga jwaneng goli 6 nafikiri Kila anatefatilia soka anajua jwaneng ni timu ya aina Gani licha ya kundi lao lote kuwa na timu dhaifu
 
Back
Top Bottom