Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

Nyerere - Yanga

Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)

Mkapa - ????

Kikwete - Yanga

Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku anacheka kiyanga anga

Samia - Yanga huyu, aliwaalika ikulu kwa kufika fainali kombe shirikisho, aliwapa ndege bure kwenda na kurudi, kununulia mashabiki tiket, nk. sherehe za uhuru wa Malawi alipendekeza Yanga waende nae huko japo kikosi kilijaa yanga toto
 
Nyerere - Yanga

Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)

Mkapa - ????

Kikwete - Yanga

Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona simba kafungwa, aliwapiga simba kijembe "kagera sugar wametoboa tundu la simba" huku anacheka kiyanga yanga

Magufuli - Yanga (Sitasahau ile siku kawatania simba "kagera sugar wametoboa tundu la simba"

Samia - hana interest na mpira
PAMOJA NA USHABIKI WAO MBONA HAWAJAWAHI ISAIDIA KUWA MABINGWA WA AFRIKA KWA MIAKA 89 YA UMRI WA YANGA?
 
Nyerere - Yanga

Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)

Mkapa - ????

Kikwete - Yanga

Magufuli - Yanga (le siku alivyoalikwa mechi ua Kagera alifurahi sana kuona simba kafungwa, aliwapiga simba kihembe"kagera sugar wametoboa tundu la simba"🤣😂

Samia - hana interest na mpira
Ndiyo maana wananchi ni masikini sana kwa sababu marais wengi ni Yanga
 
Nyerere - Yanga

Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)

Mkapa - ????

Kikwete - Yanga

Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona simba kafungwa, aliwapiga simba kijembe "kagera sugar wametoboa tundu la simba" huku anacheka kuyanga yanga.

Samia - hana riba na mpira
Acha Uwongo, Samia hana eteris
Nyerere - Yanga

Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)

Mkapa - ????

Kikwete - Yanga

Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona simba kafungwa, aliwapiga simba kijembe "kagera sugar wametoboa tundu la simba" huku anacheka kiyanga yanga

Samia - hana interest na mpira
Acha uongo, Samia hana iterest wakati anahamasisha na kutoa fedha kwenye michezo.
 
Acha Uwongo, Samia hana eteris

Acha uongo, Samia hana iterest wakati anahamasisha na kutoa fedha kwenye michezo.
ni kweli, nakumbuka pia alinunulia mashabiki wa yanga tiket kibao mechi ya fainali shirikisho, aliwapa bure ndege ya kwenda na kurudi Algeria, pia aliwapa mwaliko ikulu.

Ila kuficha upendeleo huwa timu yoyote ikifunga anaipa hela za magoli

SAMIA NI MWANACHI
 
Back
Top Bottom