siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Pokeeni mgeni wanaJf, hii ni siku kubwa kwetu

    Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini. Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama rasmi wa jamii forum baada ya kuww msomaji kwa miaka kadhaa. Naomba mnipokee.
  3. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom inasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bure

    Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi

    Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5. Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena. Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu. Weka tiki (vema)...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watumishi wa Umma wapewa ruhusa ya siku 3 kwenda kupiga kura mahali walipojiandikisha

  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

    CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia. Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
  8. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Leo Siku ya maombi kuombea uchaguzi na kumuombea mgombea wa urais

    Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

    Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
  10. MUSIGAJI

    JamiiForums Tanzania GE2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  11. Bill

    JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 28, 2020 siku ya kuwapumzisha Wabunge wa Upinzani waliosusa mara kwa mara vikao vya bunge 2015 hadi 2020

    Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje. Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu hawakufanya wakaendelea kupiga misele mtaani. Hata pale shule zilifunguliwa hawakufungia watoto wao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ratiba ya Tundu Lissu mikoa ya Ruvuma, Dodoma, Singida, Moshi, Tanga na Dsm kwa siku 3 ina baraka za NEC?

    Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho. Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC? Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo...
  13. gimmy's

    JamiiForums Tanzania TBC, kipindi cha Bongo Kama Ulaya mnarudia maudhui yaleyale kila siku

    Tunajua hiki kipindi cha Bongo Kama Ulaya kipo kwa ajili ya kukusanya kura tar 28 lakini kwa sasa hiki kipindi kinaboa. Kila siku madaraja ya juu na treni za mwendo kasi, sidhani kama mmejipanga vizuri. Habari inanoga kama huwezi kutabiri kabla ya kuiona/kuisikia lakini hiki kipindi kikifika...
  14. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

    Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania. Nataka nipate week moja nzima tunajadili kwa kina na kupeana semina elekezi. Ni mmoja ya wanawake wenye maumbo mazuri sana...
  16. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  17. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

    TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani. Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo. Vyakula kwenye majokofu vinaharibika...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

    Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni. Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Siku ya ufahamu wa kigugumizi duniani, jamii yatakiwa kuwa na subra wakati wanaongea

    Neno kigugumizi limetokana na kitenzi kugugumia ambayo ni shida ya baadhi ya watu katika kusema na inakadiriwa asilimia 5-6 inawapata watoto huku asilimia moja ikiwapata watu wazima, wanaume wanapatwa mara nne kuliko wanawake. Kwa kiingereza kigugumizi kinajulikana 'stammer'. Kuna vigugumizi...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpiga kura ni tofauti na mgombea: Mambo ya kuepuka kwa mpiga kura ili usije ingie matatani siku ya kupiga kura

    1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu 2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya uchaguzi na kuyatangaza ni kazi ya tume ya uchaguzi tu tena kwenye vituo husika official vya...
Back
Top Bottom