Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,677
Alizaliwa Disemba 30, 1963

Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani

Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina!

Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo nchini tunamtakia kila la kheri anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Happy anniversary to Him

images (5).jpeg
download (1).jpeg
FB_IMG_16093393645619041.jpg
 
Hahahahah sure

Tanzania Kuna mmoja aligombea urais nae nae anaitwa kachero mbobezi

Cha ajabu maburungutu yake hela yalidakwa liairport
Yani kashindwa kitu kidogo sana.

For q small fee ningemuingizia hela zake zote bila kuhitaji kuzibeba airport.

I am talking shell companies, Wall Street power moves, Cayman Island addresses, the works.

Panama Papers style!

I could, but I have professional standards and ethics.
 
Tuwekee picha za bank account zako tukuamini. Screen shots tu wala siyo ngumu. Badala ya porojo na maneno mengi
 
Tuwekee picha za bank account zako tukuamini. Screen shots tu wala siyo ngumu. Badala ya porojo na maneno mengi
Kwanza kabisa umeelewa nilichoandika?

Mbona unahoji jambo ambalo halina uhusiano hata kidogo na nilichoandika?

Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unabiringita kama guluguja ngumbaru asiye ubongo wala uti wa mgongo tu?
 
Back
Top Bottom