Ujumbe wa viongozi wa dini siku ya Chrismass!

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Walezi wetu kiroho wametueleza nn leo makanisani?

Huku Kagera mafundisho yamejikita kwenye Mambo makuu manne;
1. Tuombe toba kwa Taifa letu

2. Tusameane

3. Tujifunze kuwasikiliza walio na mawazo tofauti na sisi

4. Tumuenzi kristo kwa kupendana

..huko ulipo Mambo ya rohoni yaliendeshwa vipi.......
 
Yesu azaliwe kwenye nyumba na mioyo yetu - kwimba
 
Walezi wetu kiroho wametueleza nn leo makanisani?

Huku Kagera mafundisho yamejikita kwenye Mambo makuu manne;
1. Tuombe toba kwa Taifa letu

2. Tusameane

3. Tujifunze kuwasikiliza walio na mawazo tofauti na sisi

4. Tumuenzi kristo kwa kupendana

..huko ulipo Mambo ya rohoni yaliendeshwa vipi.......
Tuwalindea na kuwapenda watoto ,- Mbeya.
 
tuliishaacha kusikiliza ujumbe maana hutoka nje ya mada,badala kuhubiriwa ujumbe wa sikukuu tunapewa ujumbe wa siasa tu.Hizo siasa tutazipata kwa wanasiasa kwenye majukwa yao
 
Back
Top Bottom