Kuna watu tukisema twende kanisani kila siku Mungu atashusha gharika

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari za Chrismas wana JamiiForums leo nadhani ni hamsha hamsha kila sehemu nami nikaona isiwe tabu ngoja nianzie church KKKT UKONGA

Wakati naingia jua lilikuwa kali na km Unavyojua sisi wengine hatuendag church nahis leo hata shetan alishangaa maana laiti wangejua mambo ninayofanya na mbeleko zangu huku jamii forum wangenizuia nisiingie

Basi bwana nikazama kishikaji neno la kanisa ninalojua ni moja tu haleluyah dah niko ndan ya kanisa gafla bomba la wingu jeusi mvua kubwa duh ni hatar tupu yan kwa waliosali KKKT madafu nadhan waliona io mvua nahis mm ndio nimesababisha mniwie radh

SIKUKUU NJEMA
 
yaani dhambi zake ni za kiwango cha watu kipindi cha NUHU (Noah) hivyo anahisi alienda kulinajisi ktk takatifu hahahaaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣
Bora lakini maana kuna jamaa alikuja na utabiri wa ajabu ajabu tu asubuhi

 
🤣🤣🤣🤣
Bora lakini maana kuna jamaa alikuja na utabiri wa ajabu ajabu tu asubuhi

nilifatilia mikoa miwili ilinyesha manyunyu....ki ukweli mara nyingi krismass mvua hunyesha hata mimi nilisoma hiyo title nikafatilia ktk mikoa 2 nikaona ilinyesha hata sikufungua uzi hahaaaaa
 
Hata kama dhambi zako zilikuwa nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kama theruji
Cjui nmepatia
Anyway hata Mimi sijaenda nyingi
 
Back
Top Bottom