siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia

    Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia. Mtakumbuka kuwa siku za hivi...
  2. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya digitali ilivyo msingi wa uchumi imara siku zijazo

    Habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania. Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu ya Tanzana (BoT) uchumi unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.5 mwaka huu wa 2020. Habari hii inafuatia habari nyingine iliyotangazwa Julai ambapo Benki ya Dunia (WB) ilisema kuwa Tanzania imefanikiwa kuingia katika...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020. Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27. ======== Katibu...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya unawaji mikono duniani, kitaifa Zanzibar kuadhimishwa Pemba

    LEO tarehe 15, Oktoba, ni siku ya kimataifa ya unawaji mikono duniani kote, ambapo kitaifa kwa Zanzibar sherehe hizo zinaadhimishwa kisiwani Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman wakati akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa ZBC...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu. Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
  6. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku kumi za kuamua

    Leo nitazungumza sana siasa za Ubunge. Ukicheza vibaya hasa katika siku kumi za mwisho unaweza kuambulia 0 na ukicheza vizuri unaweza kushinda sana. Siasa ni sawa na masomo ya darasani hasa kwa wanafunzi wa sekondari. Unapoanza unakuwa na masomo wastani kumi. Lakini ukifikia kidato cha tatu...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

    Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli. Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa'...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo na kibonzo cha mgombea aliyefungiwa kufanya kampeni kwa siku saba

  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee. ----- Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
  12. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  13. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

    Hello, habari zenu wakuu. Nahisi muko wazima wa afya, leo nimekuja na hii, unahisi dunia itakuwaje kama sisi sote tukilala kwa muda wa miaka 1000. Baada ya miaka hiyo 1000 tutakapoamka dunia itakuwaje? Yaani namaanisha watu tuwe tumealala kama tuliokufa kuwe hakuna shughuli inayoendelea. Tupa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu. Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku. Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo: 1. Aina ya biashara 2. Mtaji unaotumia kuzalisha faida ya 30,000 Kumbuka waliofanikiwa sio wachoyo...
  15. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Napenda siku moja iwe hivi...

    1. Napenda siku moja hapa dar matafriki wasiwe kazini jiji zima wala taa zisifanye kazi.Yaani ni madereva tu na magari yao.(lengo nataka kusikia matusi na misele ya madereva wetu) 2. Napenda siku moja benk zote mjini ziruhusu watu 'kujisevia' wenyewe,yaani kama vile kwenye harusi...
Back
Top Bottom