sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao. Kumbika ukianza tu kutumia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Inaonekana RC Makalla anaiongoza Dar, aidha asiyoijua kabisa au kwa kutaka sifa tu

    Ndugu wanabodi kama mtakumbuka vizuri, tukiwa mwanzoni kabisa mwa kukabiliana na changamoto ya COVID-19 mwaka uliopita, ni Serikali hii hii iliamuru level seat kwa daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar. Mara tu baada ya amri hiyo, hali ya usafiri wa umma ilikuwa tete, kwani...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

    Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa. Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  5. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nahitaji football livescore App yenye sifa kama hizi

    Habari wakuu, Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
  6. Area 56

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

    Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi. Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
  7. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Stashahada kiwe kigezo au sifa ya lazima kwa Walimu wa Shule za Sekondari

    Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
  8. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake na sifa zao

    Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA warefu huwa hawawajali WAPENZI wao na hawaogopi MAHUSIANO kuvunjika pia hawajui kupetpet (3):WASICHANA...
  9. T

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka anaponzwa na sifa kutoka mitandaoni

    Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji. Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Cheyo zama za kujikomba zimeshapita, tafadhali punguzeni sifa nje ya uhalisia

    "Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo. My Take: Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other? Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  12. Melchizedek

    JamiiForums Tanzania Viongozii wezi, wapenda sifa na wachumia matumbo

    👉Kipindi cha magufuli kulikuwa ni ubabe kama ubabe! Kuna miradi kwa upande wangu haukuwa na tija! Kuna fedha nyingi zimepotea! 👉Naamini hivi maana mwendazake hakuwai kutak CAG achukue nafasi yake kukagua matumizi ya fedha Hayaa yote ni katiba yetu ya kizamani tumeikumbatia na wenye dola...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini wengi wanaamini kuwa utulivu na unyenyekevu ni sifa kuu ya Kiongozi?

    Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi. Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa ma DC na ma RC unazingatia sifa gani?

    Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi mkuu wa wilaya lazima awe mwenye elimu, ujuzi na uzoefu wa kuongoza watu badala ya kuchagua kwa...
  15. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa na majukumu ya Mkuu wa Wilaya?

    Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA. 1. Elimu 2. Umri 3. Ujuzi 4. Itikadi 5. Uzoefu Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi. Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI. ====
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wasifieni wake zenu! Kuna nguvu kwenye kusifu

    Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili... Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo . Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua, Usimsaliti akajua na ikitokea amejua jitahidi tu kutumia hata uongo unaojua kumplz , Usimfanye ajione hana...
  17. Mallia

    JamiiForums Tanzania Harmonize ausome upepo mama sio mwendazake hapendi sifa

    Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

    Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia 1. Chuchu size inayoonekana 2.Tako size inayoonekana Nimemaliza hapo ndio mwisho. Hivyo ndivyo vinafanya hata nguo zimpendeze.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

    Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania N'golo Kante sifa zimemzidi hadi kiburi kinamnyemelea

    Mzuka wanajamvi! Nyodo, ngebe, dharau, majigambo, majivuno vinaweza kumpata asipojiangalia. Ngolo Kante mchezaji wa mpira mstaarabu na muungwana kuliko wote inaonekana sifa zimemjaa hadi utanashati wake uliotukuka kwa mbali unaanza kuingia na doa. Hii ni kutokana na mtazamo wangu. Siku hizi...
Back
Top Bottom