sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Tuna watu wasio na sifa ya kuongoza

    Tuna viongozi wasio na sifa ya kuongoza WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021 Summary Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni katika siasa au serikalini, njaa yetu ya kupata viongozi bora ni kubwa sana By Mwandishi Wetu More by this Author Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

    Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu. Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Unyonge ni ujinga sio sifa

    Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa! Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa...
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  5. Lavit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi halina mbinu, limepoteza sifa ya kuitwa Polisi

    Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni simu gani yenye sifa hizi?

    Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri. - preferably those with video stabilizer (stabilization) Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc. Sorry, iphone is not my preferred brand. Your help pls.
  8. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Sifa 7 za mwanamke mpambanaji

    Dunia ingekuwa wapi leo bila mwanamke? Wanawake wana nafasi kubwa katika jamii yetu ya Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla. Mwanamuziki Beyoncé wa marekani aliwahi kuimba akisema wanawake wanakimbiza/wanaongoza dunia (Runs the World (Girls) Ingawa baadhi ya wanawake wengi hawajapata ujasiri wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Kutaja sifa kwa Mwigulu kunaumiza wananchi

    Hashim Rungwe anasema 1. Kuhusu hizi tozo wananchi hawakuulizwa wala kushirikishwa 2. Amesema serikali haibani matumizi, kwa mfano amesema kuwa magari ya vigogo ni bei kubwa, service yanahitaji service kila wakati, huku vigogo wakipewa mafuta bure 3. Anasema Waziri Mwigulu anatafuta sifa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  11. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za Mabinti wa Kidigital

    SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype. 4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
  13. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Humu unampa sifa nani kwa lipi ili aolewe au aoe?

    Ni weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake mwaka huu fungukeni mie naanza na mie. Mwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu...
  14. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao. Kumbika ukianza tu kutumia...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Inaonekana RC Makalla anaiongoza Dar, aidha asiyoijua kabisa au kwa kutaka sifa tu

    Ndugu wanabodi kama mtakumbuka vizuri, tukiwa mwanzoni kabisa mwa kukabiliana na changamoto ya COVID-19 mwaka uliopita, ni Serikali hii hii iliamuru level seat kwa daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar. Mara tu baada ya amri hiyo, hali ya usafiri wa umma ilikuwa tete, kwani...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

    Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa. Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  18. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nahitaji football livescore App yenye sifa kama hizi

    Habari wakuu, Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

    Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi. Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
  20. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Stashahada kiwe kigezo au sifa ya lazima kwa Walimu wa Shule za Sekondari

    Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
Back
Top Bottom