Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

That's funny! Sababu (kama kumbukumbu yangu iko vizuri) mwanamke wa kwanza kabisa kuvutiwa nae alinivutia baada ya kujibu swali fulani darasani ( Jibu alilojibu lake nalikumbuka paka leo).. Labda mimi sio sehemu ya hiyo jamii unayoiongelea.
 
Mwanamke wangu ni mzuri ajabu na hana ivo vitu vyote ila ananikumbusha sanaa swala tano na sura yake huchoki kumtazama
 
Back
Top Bottom