Ukifikiri kwa kina kuhusu jambo hili unaweza usimpeleke mwanao shule ya private

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,105
Shule za private zipo za Aina kadhaa.

1. Zinazo milikiwa na Taasisi (eidha za kiserikali, zisizo kuwa za kiserikali au Taasisi za kidini)

2. Zinazo milikiwa na makampuni.

3. Zinazo milikiwa na watu binafsi (Sole Proprietors)

Kwere yangu ipo kwenye number 3

Mmiliki wa shule akifilisika shule nayo inafilisika pia. Anashindwa kulipa walimu mishahara. Walimu vipanga wanakimbia na mwisho wa siku shule inashuka kitaaluma.

Usiombee hali hiyo itokee wakati ambao mwanao yupo kwenye mwaka wa mitihani ya Taifa hasahasa mwaka wa mwisho wa masomo (Std 7, Form 4 au Form Six)

No. 2 Kuna unafuu kidogo coz hata makampuni pia yanaweza kufilisika.

Suluhisho: Wazazi/walezi, kwa maslahi mapana ya elimu ya mtoto wako, mkomalie alapate alama nzuri kwenye mitihani ya Std 7 au 4 ili achaguliwe kwenye shule kongwe za serikali ambazo zilikuwa zinachukua wanafunzi wenye vipaji maalumu na mkomalie sana kuhusu Twit pindi anapokuwa likizo.

Kwa nilichokishuhudia kwenye shule moja ya private ni bora nimpeleke mtoto wangu shule ya serikali halafu nimkomalie Twisheni kuliko kupoteza mkwanja mrefu for nothing.

Kama unamaanisha kweli kumsomesha mtoto wako shule ya private basi mpeleke kwenye shule ambayo ada yake ni kuanzia milioni kumi kwenda juu na ambayo inalipwa yote kwa mkupuo au at least awa awamu mbili.

Kwa kiwango hicho cha ada at least unakuwa na uhakika kwamba walimu wanapata mishahara mizuri.

Kama hauna uwezo huo basi mpeleke tu shule ya serikali vinginevyo ndugu yangu utakuwa unacheza makida makida.
 
Shule ikifilisika anahamia shule nyingine ambayo haijafilisika. Wewe kama masikini achana nazo sio lazma umpeleke mwanao kwa machale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo shule nyingine Ada yake iwe kuanzia at least sh milioni kumi na kuendelea sio hizi za milioni tatu Kwa mwaka vinginevyo utamuhamisha sana mwanao na kumuhamisha sana shule mwanao una muathiri.
 
Unatafuta kisingizio tu. Kwani ni lazima mwanao aendelee kusoma hapo wakati shule imefilisika? Haya msiende na kwenye mahospitali ya private, yanaweza kufilisika pia!
 
Unatafuta kisingizio tu. Kwani ni lazima mwanao aendelee kusoma hapo wakati shule imefilisika? Haya msiende na kwenye mahospitali ya private, yanaweza kufilisika pia!
Kama kweli unamaanisha kumsomesha mtoto wako private skul mpeleke kwenye shule ambayo ada yake ni kuanzia at least milioni kumi na kuendelea. Hizi shule za Ada ya milioni tatu Kwa mwaka ni magumashi tu
 
Nina kijana Yuko kidato Cha kwanza moja ya shule za wasichana zile za kipaji maalumu

Msingi tulikomaa sana akapiga private hizi English medium Wala hatukuangaika na tuishen .

Tulimtafutia private kadhaa tukapa moja iko huko lushoto ya masista Ada yake tukasema acha tuone atapata shule gani kwanza ya serikali .

Angepata hizi za kata no way angeenda private

Ila kapata hizi ivy league schools za government so tulichofanya badala ya kulipa mamilioni tumeeeka mpango kazi wa yeye kusoma in smooth way bila kuchoma sana hela kwanza kichwa anacho so anahitaji incentives kidogo

Na shule ya yao Ina rekodi nzuri tu division one za kutosha tu

Na yeye Yuko motivated anasema bro naenda kutafuta one tu single digits hakuna namna

Na shule ya yao Ina rekodi nzuri tu division za kutosha tu

Na yeye Yuko motivated anasema bro naenda kutafuta one tu single digits hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Ur the true son of Ur father
 
Nina kijana Yuko kidato Cha kwanza moja ya shule za wasichana zile za kipaji maalumu

Msingi tulikomaa sana akapiga private hizi English medium Wala hatukuangaika na tuishen .

Tulimtafutia private kadhaa tukapa moja iko huko lushoto ya masista Ada yake tukasema acha tuone atapata shule gani kwanza ya serikali .

Angepata hizi za kata no way angeenda private

Ila kapata hizi ivy league schools za government so tulichofanya badala ya kulipa mamilioni tumeeeka mpango kazi wa yeye kusoma in smooth way bila kuchoma sana hela kwanza kichwa anacho so anahitaji incentives kidogo

Na shule ya yao Ina rekodi nzuri tu division one za kutosha tu

Na yeye Yuko motivated anasema bro naenda kutafuta one tu single digits hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee akifika form four niozeshe huyo ni wife material
 
Private schools Kwa level ya sekondari haina maana.Mpeleke mwanao shule za private akiwa katika level ya shule ya msingi ili apate foundation nzuri katika lugha ya kiingereza.Zaidi ya hapo ni kupoteza pesa tu.Amini kwamba watoto wote wakikutana A-level wanakuwa ni cream moja regardless huyu alisoma private na Yule public school O-level.
 
Kabisa mkuu

ubora wa Elimu ya shule ya sh. Milion 10 kwa mwaka ukoje, na uduni wa Elimu ya shule ya hata ya sh. milioni 2 kwa mwaka ukojekama wote wanafundishwa mada zilizopangwa ? au unataka kuwakashifu 90% ya watanzania ?
 
Mtoa mada ni miongoni mwa watu waoga kufikiri, wabinafsi na wakwepa majukum...mtu yeyote ukimuona anaweka wasiwasi katika uwekezaji wa kichwa cha mwanawe huyo ni wakumuogopa kama ukoma.
Usiangalie kufirisika kwa shule, pia wapo watu wamesomesha wtt kwa gharama kubwa ktk level za urubani n.k lakin kabla ya kuvuna Matunda Mzazi au mtoto Akatangulia mbele ya haki. Hayo yote juu haya fanyi mzazi makini akwepe kumsomesha mtoto wake.

Shule za serikali baadhi ni nzuri ( na declare interest ( Mimi Mwalimu) ila mtoto kufanya vzr ni bahati nasibu hasa kwa O-level kuliko shule za binafsi, sababu kubwa ni usimamizi na maslahi.

Watoto hawafaulu kwa uwepo wawalimu wazuri tu ila vitu vingi kama vifaa vya kujifunzia na kufundishia, usimamizi,maslahi pamoja na kundi rika (Peer groups).
 
Hiyo shule nyingine Ada yake iwe kuanzia at least sh milioni kumi na kuendelea sio hizi za milioni tatu Kwa mwaka vinginevyo utamuhamisha sana mwanao na kumuhamisha sana shule mwanao una muathiri.
Tangu zianze hadi sasa zimeshafirisika ngapi?

Yaani kwa mtazamo huu, HUWEZI FANYA LOLOTE DUNIANI MAANA ITAKUWAJE UKIFA?
 
Back
Top Bottom