Ni namna gani GPA kwa shule za secondary zinavyokokotolewa?

Blue Bahari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,230
1,141
Wakuu mambo vipi!

Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nahitaji kufahamu namna GPA zinavyo kokotolewa kuanzia ile ya kila mwanafunzi, kisha somo na hatimaye GPA ya shule husika.

Natumaini kupata michango kutoka kwa wadau waliopo humu kwa kuwa kuna wataalamu waliopita NECTA na sehemu zinginezo.

Karibuni!
 
Back
Top Bottom