Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,475
Watoto/wanafunzi wa msingi na secondary msidanganywe na genge la watu wanaojiita watetea haki za binadamu kwa kuwadanganya eti ukipata mimba utaruhusiwa kuendelea na shule! Ukipata ujauzito ukiwa shule ya msingi hadi secondary utafukuzwa shule ukaende ukaikuze hiyo mimba, ukajifungue, na kulea na kumnyonyesha mwanao! Kama ni kusoma utasoma kwa utaratibu uliokuwepo siku zote wa VETA, QT, na vyuo vilivyo chini NACTE.
Ukishajifungua wewe unakuwa umepoteza sifa ya kuchanganyikana na watoto wa shule za msingi secondary kwasababu wewe sio mtoto tena bali ni mzazi!
Ogopa sana propaganda za hao wanaopiga kelele eti wanawatetea mfanye vitendo vya ngono mkiwa shuleni! Hao wanaowatetea ni mapandikizi ya mabeberu na wanalipwa kwa kila post wanayoitoa!
Nawahasa watoto wa shule kuzingatia shule na masomo na kwamba ngono sio tu inaharibu utu wako ukiwa bado mdogo lakini pia ni dhambi! Mungu awasaidie kuzingatia malezi bora ya wazazi na jamii ya Kitanzania