Mimba za utotoni ni mkwamo mkubwa kwa mabinti walio shule

Mema Tanzania

Member
Feb 23, 2020
66
65
Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi.

Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;-

Fanya mazoezi ya kutosha.

VIRALG1.png


Epuka kutizama filamu/video zenye maudhui ya ngono.

VIRALG2.png


Jibidiishe katika ibada kulingana na imani yako.

VIRALG3.png


Soma vitabu ambavyo vitakusaidia kufikiri na kuichangamsha akili.

VIRALG4.png


Epuka kukaa peke yako muda mwingi. Tumia muda mwingi na ndugu/marafiki

VIRALG5.png


Tengeneza ratiba ya masomo na uzingatie.

VIRALG6.png


Haya ni machache! Mdau wetu ongeza mengine na umsomee kwa sauti ya juu 😁!
-
#IshiKijanja #AfyaYaUzazi #SisiNiMema #StayAtHome #StaySafe #SaveLifes
 
Back
Top Bottom