Title ya thread inajieleza.
Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?
Wakuu amani iwe nanyi
Mwendelezo wa mtifuano mkali, CCM sasa inamtetea mwanamke kwa kila namna.
Ni hivi: Jana spika Job Ndugai alisema kuwa hawezi kuwafukuza bungeni wale akina mama kwa sababu dunia nzima itamshangaa kwa kuwafukuza wanawake bungeni na hali hiyo itapelekea yeye binafsi...
Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni.
Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu...
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali.
Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE
UTANGULIZII
1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi...
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?
Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako
Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'
Gharama za...
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.
Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo...
Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv.
Updates
MAJINA YA WALIMU WAPYA
Habari ya mchana wadau wa JF.
Kuna kitu nilikuwa najiuliza sana, nikaona niwashirikishe na nyie.
Je, serikali ya awamu ya 6 chini ya Mh. Magufuli itaendelea kutoa elimu bure kwa ngazi ya elimu ya msingi na upili kama ilivyokuwa kipindi anaingia madarakani 2015?
Je, wanafunzi wataanza...
Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali.
Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo.
Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo.
Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
Kwanini usubiri hadi January kununua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao, wakati ni sasa jipatie viatu vya shule na offer ya socks Kwa 35,000
Call/what's up 0744 002351
Zinapatikana no 20 - 40
Moshi. Ofisi ya Taifa ya mashtaka nchini Tanzania imewafikisha mahakamani watuhumiwa watatu wakiwemo wanafunzi wawili kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari za Uchira na Ebeneza Sango zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza na...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni.
Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
Elon Musk aliwatoa watoto wake wote watano katika shule walizokuwa wanasoma, akaanzisha shule yake karibu na zilipo ofisi za kampuni yake ya Space X. Shule hii haifuati mitahala ya shule yoyote. Pale wanajifunza hesabu, Physics, mambo ya space wakiandaliwa kuwa ma engineer wa kampuni zake.
Pia...
Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea"
Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura
Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli.
Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma...
Toka wilayani hai mkoa wa Kilimanjaro Wanafunzi wa 3 wanashikiliwa na Polisi kwa kujaribu kuchoma Bwalo la chakula la shule ya Othman bin Hasani
Source Radionesterio
========
Wanafunzi watatu wanaosoma masomo ya Dini Katika Chuo kinachotoa mafunzo ya Quran na hadithi za Mtume cha Othuman...
Vyombo vya Dola wilayani Hai vimefanikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia chakula la wanafunzi wa Madrasa lililopo ndani ya Msikiti wilayani Humo mkoani Kilimanjaro.
Bweni hilo liliungua kwa moto siku mbili zilizopita Ikiwa ni tukio la pili baada ya mabweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.