shule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

    Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne. Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine. Wanasheria...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video ya wasichana wa shule ‘wakinyunyiziwa’dawa ya kuua virusi' yawakera Wakenya

    Video inayoonesha wasichana wa shule wakiwa wamejipanga msururu kwa ajili ya kunyunyiziwa dawa kama sehemu ya hatua za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona imeleta mgawanyiko miongoni mwa Wakenya mtandaoni. Video fupi ya sekunde 30 iliyopakuliwa kwenye Twitter na gazeti nchini humno...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shule zote Zanzibar kufungwa kuanzia Oktoba 24 Mpaka Novemba 2 ili kupisha Uchaguzi

    Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na kufunguliwa tarehe 2/11/2020 kwa ajili ya kupisha Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya ujenzi wa shule kwenye Ilani za Vyama vya Siasa ikoje?

    Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea. Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki. Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu. Jana nilimuona mgombea anasema ataongeza madarasa matatu kweye shule yenye madarasa 10 na wanafunzi 3300+ nikapenda kujua...
  5. Tetra

    JamiiForums Tanzania CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Mizimu na mashetani ndio huchoma shule zetu?

    Tangu Zama za Shauritanga ilipoteketea, wimbi la shule kuungua na kuteketea kwa moto halijawahi kukoma. Kama sio madarasa yanaungua, Basi ni mabweni. Katika matukio haya ambayo yamekuwa yakichunguzwa kwa muda mrefu na Jeshi la polisi na zimamoto, hawajawahi kutupa chanzo hasa ni Nini, pia...
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma, kwenda shule pekupeku tukutane hapa

    Mwanzoni mwa miaka ya 80. Nakumbuka darasa letu aliyekuwa akivaa viatu alikuwa mmoja tu. Hiyo ilikuwa mkoani kimanjaro. Na 98% ya wanafunzi wa shule yetu tulikuwa hatuvai viatu. Hii ilikuwa ni shule ya msingi. So kama ulienda shule bila kuvaa viatu karibu huu ni uzi wetu.
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane ni tukio gani alilokufanyia Mwalimu Shule ya msingi likaleta mabadiliko hasi au chanya katika Elimu Yako

    Mwalimu mama mmoja anamacho makubwa aliitwa Iganas. Alikuwa Mwalimu wa hesabu darasa la sita. Alikuwa anafundisha kisha anauliza kuna mtu hajaelewa kinafiki na kwa hofu wote tunasema hapana. Anatoa swali kupima uelewa, kila anayekosa anararuliwa fimbo sio chini ya Tatu za mgongo. Nilikuwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali upande wa elimu irasimishe vituo vya watoto chekechea kufundisha hadi darasa la 3 ndipo wajiunge na shule za msingi kuendelea darasa la 4

    Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
  10. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Haya maneno ya mtangazaji wa Uhuru FM kwa wanafunzi wa Jangwani mnayaonaje?

    Lengo la uzi halipo kisiasa wala kuegemea au kushambulia upande wa chama chochote cha kisiasa. Leo nilikuwa nasikiliza redio stesheni ya Uhuru FM. Walikuwa wanahoji wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 shule ya Secondary Jangwani kuhusu "kwanini Magufuli miaka mitano mingine" Ila kuna...
  11. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania

    Wakuu Salaam; Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi ikiwa ni hatua ya kuboresha elimu nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Naibu Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk Ave Maria Semakafu amesema hatua hiyo inakwenda...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Anayestahili kulaumiwa kosa la watoto wadogo wa shule kubebwa mshikaki kwenye bodaboda

    Pamoja na kwamba Sensa haifanyiki siku hizi! Wacha nijikite kwenye mada tajwa! Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watoto wadogo wa shule kubebwa zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja (mshikaki). Kitendo hiki kinahatarisha Sana usalama wa Watoto hao lakini Je; Anaestahili kulaumiwa hapo ni Nani...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mazingira: Kwanini kuna huduma za kijamii (Shule, Polisi, Hospitali) za kata lakini hakuna hifadhi ya misitu/miti (Mapafu) kwa ngazi hiyo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania wataalam wa mazingira eti; Kwanini kuna huduma za kijamii (shule, polisi, hospitali) za kata lakini hakuna hifadhi ya misitu (mapafu ya hewa safi) kwa ngazi ya hiyo? Au hiyo hifadhi maalum ya misitu kwa ngazi ya kata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
  15. proff g

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vicensia Shule: Uamuzi ni wetu, Tuchague Utumwa au Haki

    Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI ✊🏿✊🏿✊🏿
  17. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Shule za bweni shule za msingi zifungeni. Ni uzembe wa malezi

    Baada ya ajali na kupoteza maisha ya watoto kule Kagera, shule nyingine mkoani Tabora imeungua. Mmoja katika waliohojiwa alionesha mashaka kwamba kwa nini kwa muda mfupi kiasi hiki na kwa nini zote za dini moja - alimaanisha za Kiislamu. Binafsi nina tatizo na ubora na tabia ya kupeleka watoto...
  18. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kuungua mara kwa mara shule za Waislam. BAKWATA na makundi mengine wakae chini wajitafakari

    Wasalaam! Nawasalimu kwa mujibu wa Imani zetu na zenu Modes mkipenda futeni tu huu uzi. Hili suala la kuungua mara kwa mara shule za ndugu zetu Waislam lishakuwa hatari na huko tuendako linatishia usalama wa watanzania wote. (Kumbuka shule wanasoma watanzania wa itikadi na imani zote). Kuna...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

    Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora imeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo Septemba 27. Hakuna madhara yoyote kwa binadamu yaliyotokea kwa tukio hilo. ===== Shule ya Awali na Msingi ya Taasisi ya Kiislamu ya Istiqaama iliyopo mkoani...
  20. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Ajira Mwalim Mkuu na Walimu wengine shule ya Waislam

    Tangazo la ajira ya Mwalimu Mkuu. Abrar Primary School is a proposed name for anew Muslim School proposed to built at Vitendo Street, Misugusugu, Kibaha. Pwani, Tanzania. The proposed Abrar Primary School is an upgrade and enhancement of the now existing Madrasatul Abrar. We are seeking a...
Back
Top Bottom