Wasalaam! Nawasalimu kwa mujibu wa Imani zetu na zenu
Modes mkipenda futeni tu huu uzi.
Hili suala la kuungua mara kwa mara shule za ndugu zetu Waislam lishakuwa hatari na huko tuendako linatishia usalama wa watanzania wote. (Kumbuka shule wanasoma watanzania wa itikadi na imani zote).
Kuna...
Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora imeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo Septemba 27. Hakuna madhara yoyote kwa binadamu yaliyotokea kwa tukio hilo.
=====
Shule ya Awali na Msingi ya Taasisi ya Kiislamu ya Istiqaama iliyopo mkoani...
Tangazo la ajira ya Mwalimu Mkuu.
Abrar Primary School is a proposed name for anew Muslim School proposed to built at Vitendo Street, Misugusugu, Kibaha. Pwani, Tanzania.
The proposed Abrar Primary School is an upgrade and enhancement of the now existing Madrasatul Abrar.
We are seeking a...
Wakuu ninaomba mtu anayefahamu Shule ya Sekondari ya Bweni inayofundisha michezo pia iwe nzuri kwenye taaluma. Kijana wangu anamaliza Darasa la Saba na anapenda sana michezo na anacheza Mpira wa Miguu na Kikapu.
Shule iwe kati ya Dar, Morogoro, Pwani, Iringa, Mbeya na Tanga na ada isizidi...
DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI
Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000
Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo...
Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama.
Natanguliza shukran
Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu.
Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu wawili wanapeana majukumu, mmoja akisimamia taaluma mwingine anasimamia fedha za shule na miradi. Hiyo...
Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
Unaweza kumsikiliza dogo...
Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii.
Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
Ujumbe huu uwafikie Mkurugenzi Mtendaji (DED) Bwn. Lutengano Mwalwiba na Afisa Elimu Msingi (DEO) Bi. Glory Mtui; wote wakiwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya MAGU.
Kuhusu mada iliyobeba ujumbe huu ni kwamba, watoto wanaosoma Magu Shule ya Msingi iliyoko Magu Mjini wako hatarini tangu...
Heshima kwenu wanajamvi.
Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani, ikiwa ya kikristo itapendeza. Ada isiyozidi milioni 4 kwa mwaka.
Shukrani
Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi.
Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼)
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema.
Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana.
Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12.
Taarifa zaidi inakuja...
====...
Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia.
Je, wewe unasemaje?
Tuwasaidie watakao drop baadae😊
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.