Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.
Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.
Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi...
Mimi ni Mwalimu wa Physics na Maths. Nina uzoefu wa miaka 5 nikifundisha Advance.
Naomba anayejua penye nafasi tuwasiliane 0766556236
Wanajamii naombeni msaada wenu mkoa wowote nitaenda
Wana JF,
Nasikitika kuwafahamisha kuwa wanafunzi wawili wa shule ya sekondari Ngasaro Wilaya ya Rorya(kata ya mkoma) wafariki dunia mchana huu baada ya kuangukiwa na ukuta.
Kwa taarifa nilizozipata ni kuwa ukuta huo ulikuwa unatenganisha vyoo na madarasa.
Chanzo: Mmoja wa familia ya wafiwa...
Familia nyingi zinateseka na watoto sababu ya kuachia kila kitu mabinti wa kazi
Wako leo hii waliojisahauu na sasa mabinti wakazi wamekuja sec wife na hawana nguvu ya kuwaondoa anaelipa mume kumbe ni kwa ujinga wako mwenyewe
Turudi kwenye màda kifupi ningeombà mjitahidi watoto wenu kabla ya...
Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania.
Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, jana nilipigiwa simu na binti wa pale kijijini kwetu kamaliza form 4 akapata DIV III ya 25 bahati...
Moja kwa moja kwenye mada.
Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu.
Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya.
Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo.
Marekani ya Trump sasa...
Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne.
Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
Habari za leo wakuu,
Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Nikikumbuka vijana wenzangu ambao nilisha waacha nyuma mara baada ya wao kushindwa kuelewa kinacho endelea darasani, ndipo nagundua jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Just imagine mkuu unaanza chekechea unasoma mpaka...
Mkuu wa wilaya ya Musoma, Vicent Naano ametoa wiki moja kwa wananchi wa kijiji Kakisheri kata ya Nyakatende wilaya ya Musoma Vijijini wanaojihusisha na matukio ya kishirikina kuacha vitendo hivyo haraka na endapo vitandelea basi atafunga shule na kuwahamisha walimu wa Shule ya Msingi...
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela mapema leo amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya Zaidi ya shilingi milioni 26.
Brig.Jen. Mwangela amefikia hatua hiyo mara baada ya kamati...
Nimepewa code mitaa hiyo kuna moto.
Mwenye kujua zaidi atupe taarifa
Ova
======
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kinondoni Shamba amesema alipoongea na wanafunzi wamesema chanzo ni umeme lakini bado haijathibitishwa rasmi. Amesema moto unaendelea kusambaa kwa sababu baada ya kutoa taarifa...
Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli -...
Zaidi ya miaka 40 shule hii ya msingi Mpakani iliyopo kata ya Mabibo mkoa wa Dar es Salaam kujengwa chini ya nyaya za umeme mkubwa wa gridi ya Taifa hali inayohatarisha maisha ya wanafunzi, maana nyaya ikikatika lazima maafa makubwa yatokee
Simu za nyuma Tanesco walivunja nyumba zilizopo ndani...
Happy, binti mwenye akili, aliyetoka katika familia isiyojiweza lakini alifanya vyema katika matokeo yake ya kidato cha 4 katika shule jirani ya serikali, hivyo meneja wa shule, Padri Damian Milliken alijitolea kumsomesha Mazinde Juu na kumhudumia hadi atakapomaliza kidato cha 6 .
Baada ya...
Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua
Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
Ndugu yangu alikuja huko akiwa amepangiwa kazi miezi ya hivi karibuni, ajabu tangu Alhamisi hapatikani wala hajamtafuta ndugu yetu yoyote. Nawaomba mlio Mtwara hasa walimu mnisaidie tujue ndugu yetu amekutwa na nini. Naomba mni-PM au mnijulishe kupitia Uzi huu. Shule anayofundisha ni ya sekondari.
Wanafunzi watatu wamefariki dunia baada ya Moto uliozuka usiku wa kuamkia leo kuunguza bweni la shule ya sekondari ya Ilala Islamic iliyopo eneo la mtaa wa Arusha Ilala.
Mpaka sasa chanzo Cha Moto huo hakijajulikana ambapo wanafunzi wote wa shule hiyo wamehamishiwa kwenye shule ya msingi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.