Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,979
- 13,631
Mwanzoni mwa miaka ya 80. Nakumbuka darasa letu aliyekuwa akivaa viatu alikuwa mmoja tu. Hiyo ilikuwa mkoani kimanjaro.
Na 98% ya wanafunzi wa shule yetu tulikuwa hatuvai viatu. Hii ilikuwa ni shule ya msingi.
So kama ulienda shule bila kuvaa viatu karibu huu ni uzi wetu.