Jamani mambo mengi, muda mchache.
Naombeni kujuzwa scale sahihi wanayotakiwa kulipwa wahandisi walioajiriwa na TAMISEMI kwenda kufundisha shule za ufundi sekondari mwaka 2021
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Kwa hiyo, shule zinafunguliwa Jumatatu (11 Jan 2020) halafu Jumanne mapumziko tena ya sikukuu (Mapinduzi Day)?
Kwanini wasingefungua tu Jumatano?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA...
Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria
iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi.
(2) Bunge au Baraza la...
Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike.
Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
Natumai wengi wenu mko poa,na wachache wanaoumwa mungu atawapa ahuweni.
Bila kupoteza wino kama kichwa cha Uzi kilivyo,ningependa kuainisha mambo ambayo wanaume wa kweli huwa wanayafanya mwisho wa mwaka.Nazani Hii dunia bila wanaume nazani ingekuwa kama mbuga tu.
Jamani Kuna wanaume kwa kweli...
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza!
Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium.
Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna...
Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali.
Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators.
Tukija katika hoja yenyewe, ukweli ni kuwa Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya secondary ya serikali. Wachache waliobahatika walijulikana kata/tarafa nzima. Je, wewe ni mmoja wao?
TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL
Juzi...
Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu.
Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija.
Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini wanafunzi wa shule za secondary za serikali wanavaa suruali/sketi za rangi tofauti wakati nembo zao zinatosha kabisa katika kuwatambulisha?
Nini mantiki ya kuwa na namna mbili ya...
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo.
Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho.
Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho.
Mungu wabariki...
Salamu wakuu
Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana.
NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba
Natanguliza shukrani.
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk.
Faida
I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule
II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri.
Hasara
I. inasababisha wizi wa mitihani ya Taifa
II. inasababisha ubaguzi kwa watoto kupitia mitihani ya michujo.
Binafsi napendekeza ufutwe...
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.