Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili.
Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege.
Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
------...
Sifa
1. Uwezo mzuri sana wa kujieleza na ushawishi wa hali ya juu
2. Aliyetayari kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi
3. Mnadhifu sana na mwenye lugha laini wakati wote
4. Elimu kidato cha nne na awe mdada anayeishi Dar es Salaam
5. Mshahara si tatizo itategemea na uwezo wa kazi
6. Mwenye...
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
Wanasheria hebu tusaidiane hapa.
Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5.
Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Sifa
Uwezo wa kuongoza taasisi yenye matawi yake
Lugha nzuri sana na uwezo wa kujieleza
Mwaminifu sana na aliyetayari kufanya kazi bila usimamizi na kwakujitoa
Uwezo wa kutumia computer na uelewa wa kuandaa report za utendaji
Awe na jinsia ya kike mwenye ujasiri, ari, uwezo na utayari wa...
Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
Walimu Wakuu wa shule za msingi wameagizwa kusimamia vizuri taaluma na kuwabaini wale wote wanaojikita kufundisha tuisheni badala ya kutumikia ajira waliyoiomba.
Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ambapo alitoa agizo wakati alipokuwa...
Kuna mteja nimempata. Anahitaji school management system. Kama ya kwako ina sifa zifuatazo, nakuomba:
Inaweza kuwa installed offline
ina uwezo wa kuvuta reports sawasawa (ntaomba evidence of this).
iko flexible enough to change
kama inakidhi mahitaji haya, tujuzane. I need it urgently, so the...
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini...
Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums.
Eti ndugu zangu;
Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT?
Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu!
Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary.
A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills.
Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private.
Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali zimefurika wanafunzi wakati sekondari za private zina wanafunzi kiduchu.
Ukizingatia kwamba sekondari za...
Wakuu!
Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa.
Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa.
Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi...
Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya...
Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
Wakati uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukikanusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.