shule

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Kituo cha Mafuta karibu Shule imekaaje?

    Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto wanaosoma hapo. Pia, usalama wa hiyo shule. Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na 'usanii' huu wanaoutumia watoto wa shule za msingi kujipatia pesa toka kwa watu wazima

    Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa ' Style ' ya Kipekee kabisa. Wanajikusanya Watoto kama Watano (5) hivi kisha wanakaa katika njia...
  7. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  9. mzeewangese

    JamiiForums Tanzania Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kufunga na kufungua shule za serikali kwa likizo ya kumaliza muhula wa 1, 2021

    Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
  11. kali linux

    JamiiForums Tanzania School dropouts: Nini kilikufanya ukaacha shule au chuo

    Kuna changamoto zinatokea kwenye maisha na baadhi zinaweza kutatuliwa na mamlaka husika. Mojawapo ya swala lenye changamoto sana ni swala la elimu ya shuleni na vyuoni. Natumaini wahusika (wazazi na serikali)wanaweza kupitia huku na kusaidia kutatua changamoto hizo. JE KAMA WEWE ULIACHA SHULE...
  12. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza

    Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza? Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

    Hivi shule za private lazima zifundishe kwa Kiingereza?
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Kondakta wa basi la shule mbaroni kwa kudaiwa kumbaka mtoto wa miaka 5

    Polisi katika Mji wa Mombasa nchini Kenya wanamshikilia kondakta wa Basi la Shule kwa madai ya kumbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka mitano alipokuwa akimpeleka nyumbani kutoka shule. Mwanafunzi huyo wa Shule ya Msingi Maryjoy mjini humo alikuwa akirudishwa nyumbani, na anadaiwa kubaki peke...
  15. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hujengwa na Waliofeli shule ila wasomi huibuka tegemezi?

    Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi... kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baada ya cheti cha shule ya upili ulipata cheti gani?

    Mimi binafsi baada ya cheti cha form four nimeendelea kupata vyeti vya mandatory training.
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

    Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso. Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Laptop computers 10 zaibwa shule ya sekondari Moshi Technical - Mkoa wa Kilimanjaro

    Kumekuwepo na usiri mkubwa , kwenye sakata la wizi wa laptop computers 10 uliofanyika shule ya Moshi Technical kule kilimanjaro, ambapo shule hii Ina kitengo maalumu cha wanafunzi wenye matatizo ya kutokusikia vizuri. Hii ni mara ya pili kufanyika kwa wizi huo ndani ya mwaka mmoja. Kimsingi...
  20. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

    Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
Back
Top Bottom