Astrum27
Senior Member
- Nov 28, 2016
- 140
- 201
Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi...
kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya chuo kikuu, mida ya class presentation, I mean miaka ya nyuma kidogo wakati wa kuandaa class presentation. Wakati wa uwasilishwaji tulitegemea wale bright students, namaanisha A students wafanye wonders katika kupresent cause mitihani na matokeo yao hutuaminisha wao ndio nucleus na wanajua vitu vingi zaidi, ila tukiangalia kwa undani, wale high performers na wale wenye GPA za kishujaa, huwa na takriban similar performances kwenye presentation na D students. Sali juilize ni kwanini?
Baada ya kufanya uchunguzi wangu wa kijasusi, nilifanikiwa kuja na jibu moja ambalo ndio suluhisho wa changamoto hizi. Hadi inafika kipindi Mama yetu mpendwa Mama Samia kucrash wasomi kusema hawana uwezo. kwa upande mmoja yuko sawa ila kwa upande wa pili hayuko sawa.
Pia tunasikia vijana mtaani wanasema kuliko umuajiri msomi, tafuta kijana anaeelewa mapema ajiri uone matokeo, kwa upande mmoja wako sawa, ila upande wa pili wanakosea kabisa.
Niliskia Bungeni wanazungumza na kusema mifumo yetu ya elimu haiendani na soko la ajira duniani so tufundishe wanafunzi ujasiriamali vyuoni, kwa upande mmoja wako sawa ila kwa upande wa pili, wamekosea sana.
Kuna baadhi ya wanafunzi wanavyorudi mtaani wakihojiwa hujitetea kuwa koz ni nyingi sana, kwa upande mmoja wakp sawa upande wa pili wamekosea sana.
JE, NINI HASA NDIO CHANZO YA SINTOFAHAMU KWA WAHITIMU WETU?
Baada ya Utafiti kwa Takribani miaka miwili nimegundua tatizo lipo kwenye KUJIAMINI. Tukumbuke kuwa lengo kuu la kuweza kufanikiwa katika Kila tunachokifanya ni kujua kila kitu kina kinyume. Katika elimu yetu hatuaminishwi kuna kufeli, Namaanisha wenye GPA kubwa tu ndio wanakuwa considered kwenda mbele, na ndio factor moja wapo wanazotumia ku assess performance ya mwanafunzi.
Nachomaanisha, huenda kuna mwanafunzi mwenye GPA 4.0 na kumuuliza asimame mbele ya hadhara na kuelezea nini hasa anachokijua kuhusu hilo na lina impact kwa jamii. Wengi huwa wanameza na kutema kwenye mitihani. Ila mtafute yule aliyeanguka na kusimama tena mlete mtaani. mwezi hauishi utaskia kafungua biashara, kapata kazi, kawa mbunge, kawa na familia. kwanini? kwa sababu anajiamini.
USHAURI
Ushauri wangu kwa serikali endapo wanataka wasomi haswaa, wasi judge performance kupitia mitihani ya mwanafunzi, bali watumie presentation skills, confidence na wacheck impact ya mwanafunzi kwa jamii kulingana na alichokisoma. Ni Imani yangu sio kila swali lina jibu moja, Mfano kuna mtu akiona mti anaona mbao, mzingine anaona meza, mwingine anaona mmea, mwingine anaona boti. hivyo tutumia maarifa ya wanafunzi katika jamii na uwezo wao wa kujiamini kuwapangia ufaulu.
Mfano hai,
Bungeni wanajadili wahitimu wawe wajasiriamali, na kama kuna mjasiriamali hapa anipinge, kuwa ujasiriamali ni jambo zuri ila linahitaji moyo sana kuna siku nzuri na kuna kufeli pia, tuku,bike kuwa wahitimu wetu hatujawafundisha cha kufanya akitokea kafeli, swali je wataweza ujsiriamali? Mwanafunzi wa chuo boom lilichelewa wiki mbili tu ni vurugu, huyo anaweza ujasiriamali.. hivyo ushauri kwa serikali watengeneze mazingira ya wanafunzi kuweza kujiamini na kutofikiri ni mwisho wakifeli, tunaweza jenga taifa imara.