Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,613
2,000
Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule.

Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho.

Baada ya kutoelewana mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani ambaye kwa sasa amewahishwa hospitali kwa matibabu.

===

Special Police Unit in Kericho county, Ainamoi Constituency are in hot pursuit of a form 3 student from the Ainamoi Secondary school.

The form 3 male student is being hunted after he attacked the school’s principal. According to eyewitnesses and students, the unidentified student was sent home by the principal over a ksh7000 fees balance.

However, drama ensued when the student started asking for more time to clear the balance. The school management however stated that he had to clear the balance before being allowed to class.

Capture-40.png

Following the quarrel, the student reportedly timed the head teacher and and hammered a 4inch long nail at the back of his head. The principal was rushed to hospital while Police started a man hunt for the student. His (Teacher) state of health is yet to be revealed by time of publish.

Cases such as these have been on the high with students killing and attacking their teachers over similar quarrels. Citizens are urging the government to concentrate on teachers’ security and also counselling sessions in schools.
IMG-20210610-WA0014.jpg
 
Tuna

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
717
1,000
Dah Pole yake Teacher.Sema huyo dogo yuko faster sana Teacher hajapata hata muda wa kujitetea.
 
Lucky Star

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,317
2,000
Kenya mnanini jamani?

Sipsti picha mwalimu alitukana matusi mangapi kwa ungese wa huyu mwanafunzi.

Halafu ticha anaonekana innocent sana.
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,119
2,000
Wakenya wakidaiwa hupiga wadai
Sijui kwanini
Tuna kesi kama hii
Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule.

Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho.

Baada ya kutoelewana mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani ambaye kwa sasa amewahishwa hospitali kwa matibabu.

===

Special Police Unit in Kericho county, Ainamoi Constituency are in hot pursuit of a form 3 student from the Ainamoi Secondary school.

The form 3 male student is being hunted after he attacked the school’s principal. According to eyewitnesses and students, the unidentified student was sent home by the principal over a ksh7000 fees balance.

However, drama ensued when the student started asking for more time to clear the balance. The school management however stated that he had to clear the balance before being allowed to class.

Following the quarrel, the student reportedly timed the head teacher and and hammered a 4inch long nail at the back of his head. The principal was rushed to hospital while Police started a man hunt for the student. His (Teacher) state of health is yet to be revealed by time of publish.

Cases such as these have been on the high with students killing and attacking their teachers over similar quarrels. Citizens are urging the government to concentrate on teachers’ security and also counselling sessions in schools.
View attachment 1814226

Walezi tubadilike, ule ulezi wa kibabe kwa sasa tuuboreshe. Vijana hawana hofu tena kama miaka ya nyuma. Hata wazazi majumbani tuwe makini sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom