Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

Ta Muganyizi

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
5,301
2,000
Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.

Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya chochote hata twende wapi hawezi kukamatwa.

Mimi mama yake ni mgonjwa nahudhuria dialysis Bugando maana mie ni mgonjwa wa figo.

Katumia udhaifu wangu kunifanyia hivyo. Nina imani na Serikali iliyoko madarakani na wapigania haki popote walipo kuwa watanisaidia.

Mimi niko Mwanza
Namba yangu ya Simu ni 0745 317 ***
Jina langu ni Sekunda
Binti yangu ni Ph***

Aliyemuachisha shule anaitwa Razaro
Namba yake ya simu ni 0757262*** na yuko hapa hapa Mwanza

Naomba serikali ioneshe kwamba ipo. Katika utawala huu nina imani mama atatupigania.
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,069
2,000
Mkuu andaa Bango tu unakwama wapi???

Kumbuka Bango moja lina kichwa cha DED au Mkuu wa Wilaya

Ila hakikisha unawaambia mapema kabla hujapandisha Bango lako siku ya ziara ya Mh. RAIS wetu

Maana hayo ni maisha ya watu mkuu
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,278
2,000
Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya chochote hata twende wapi hawezi kukamatwa.
Mimi mama yake ni mgonjwa nahudhuria dialysis Bugando maana mie ni mgonjwa wa figo.
Katumia udhaifu wangu kunifanyia hivyo. Nina imani na Serikali iliyoko madarakani na wapigania haki popote walipo kuwa watanisaidia.

Mimi niko Mwanza
Namba yangu ya Simu ni 0745 317 ***
Jina langu ni Sekunda
Binti yangu ni Ph***

Aliyemuachisha shule anaitwa Razaro
Namba yake ya simu ni 0757262*** na yuko hapa hapa Mwanza

Naomba serikali ioneshe kwamba ipo. Katika utawala huu nina imani mama atatupigania.
Mama Pole.Naamni utapata usaidiza sahihi.Mungu akupe Nguvu
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
7,519
2,000
Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya chochote hata twende wapi hawezi kukamatwa.
Mimi mama yake ni mgonjwa nahudhuria dialysis Bugando maana mie ni mgonjwa wa figo.
Katumia udhaifu wangu kunifanyia hivyo. Nina imani na Serikali iliyoko madarakani na wapigania haki popote walipo kuwa watanisaidia.

Mimi niko Mwanza
Namba yangu ya Simu ni 0745 317 ***
Jina langu ni Sekunda
Binti yangu ni Ph***

Aliyemuachisha shule anaitwa Razaro
Namba yake ya simu ni 0757262*** na yuko hapa hapa Mwanza

Naomba serikali ioneshe kwamba ipo. Katika utawala huu nina imani mama atatupigania.
Kituo cha sheria na haki za binadamu email: lhrc@humanrights.or.tz, simu +255 22 2773038 / +255 22 2773048
Polisi Dawati la jinsia

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee Watoto kitengo cha Ustawi wa jamii

Rekodi ushuhuda wako weka kwenye Youtube na vyombo vya habari
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom