Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi...
Habari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa, kwa miaka mingi sasa, kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani Serengeti mkoani Mara, zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.
Ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye...
Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini wengine wasome English Medium na wengine Swahili medium wakati zote za serikali?
Pili sasa hivi tuko...
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Sekondari Mkwasa wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro watakosa huduma ya chakula waliyoizoea kutokana na jiko la shule hiyo kusombwa na upepo mkali ulioambatana na mvua
Shule hiyo iliyopo kijiji cha Mungushi kata ya Masama Kusini ilikumbwa na kadhia hiyo Januari...
Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70.
Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu.
Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
Kuna sisi ambao tunarudi mashuleni kuanzia leo hadi juma tatu, kama watu wenye busara na fikra endelevu tushaurini vyakuvifanya ambavyo sio vya kufanya kwa mafanikio kujenga taifa amina :)
Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila sababu.
Unajua ada inapanda labda kuna mazingira shule au walimu watabadilika hakuna inabaki pale pale...
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka.
Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
Wana JF
Ukisikia mchawi mpe sifa zake. Hili la Nyerere na Lowassa ni watu walioona mbali, kama si Nyerere kuanzisha UPE Taifa hili lilikuwa lizalishe wajinga wengi kwani idadi ya watu ilizidi kuoongezeka sana wakati ujenzi wa shule za primary zikiwa kidogo sana kukabiliana na idadi ya watu...
Jamani mambo mengi, muda mchache.
Naombeni kujuzwa scale sahihi wanayotakiwa kulipwa wahandisi walioajiriwa na TAMISEMI kwenda kufundisha shule za ufundi sekondari mwaka 2021
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Kwa hiyo, shule zinafunguliwa Jumatatu (11 Jan 2020) halafu Jumanne mapumziko tena ya sikukuu (Mapinduzi Day)?
Kwanini wasingefungua tu Jumatano?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA...
Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria
iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi.
(2) Bunge au Baraza la...
Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike.
Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
Natumai wengi wenu mko poa,na wachache wanaoumwa mungu atawapa ahuweni.
Bila kupoteza wino kama kichwa cha Uzi kilivyo,ningependa kuainisha mambo ambayo wanaume wa kweli huwa wanayafanya mwisho wa mwaka.Nazani Hii dunia bila wanaume nazani ingekuwa kama mbuga tu.
Jamani Kuna wanaume kwa kweli...
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza!
Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium.
Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.