shule

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya Shule au Dini kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto?

    Kati ya vitu hivi viwili, unadhani kitu gani kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto haswa kwa karne hii? Mambo ni mengi mno. Kuna haya mambo ya LGBTQ, kuacha kusoma ili kufanya biashara... ili ku"trade" au kubet.... wazazi wa sasa na watarajiwa wawekeze nguvu wapi sasa?
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

    Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki). Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale tulioanza shule tukiwa hatujui kabisa kiswahili,

    nkukumbuka 2006 ndo naanza darasa la awali huku kati yetu wengi tukiwa hatujui kabisa kiswahili yaani zaidi ya ndiyo, hapana, naomba, mpaka nafika darasa la pili nilikuwa napata sana shida maana nilikuwa nakubalika na vitoto vya kike vya walimu maana nilikuwa mtu wa hadithi nyingi ambazo...
  4. Communist

    JamiiForums Tanzania NHIF Na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Bima kwa Wanafunzi Overview NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania. Students with NHIF...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Shemeji kagoma kunipeleka shule na gari yake

    Hellow african Mimi naishi na shemeji yangu dada yangu yupo india ni doctor uko india sasa shule wakati zimefunguliwa dada alisema shemeji anipeleke shule na gari yake ile BMW ya 2009 Sasa siku ilipofika shemeji kagoma kunipeleka anataka nipande daldala mimi sitaki leo nimerudi kutoka shule...
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
  7. Njegele

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya watumishi shule ya secondary Bulima

    Leo ikiwa ni siku ya wafanyakazi duniani, khari ni tofauti kwenye shule ya secondary Bulima. Shule hii inamilikiwa na umoja wa wazazi Tanzania (CCM) Kwa mwaka huu(2023) shule imejifunga baada ya kukosa wanafunzi. Hasa tatizo lipo Kwa watumishi ambapo mpka Sasa uongozi wa shule hautaki...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto Lapewa na TAMISEMI Shilingi 180,000,000 Ujenzi wa Madarasa Shule Kongwe

    MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. *Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi wa Jimbo la Kiteto kuwa jimbo limepokea fedha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi atimiza ahadi ya kuchangia saruji ujenzi wa zahanati na shule ili kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nsekela aongoza harambee shule za Marian, Bagamoyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akilisalimiana na Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kadinali Polycarp Pengo wakati alipowasili kwenye viwanja vya michezo vya Bongololo vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Marian mjini...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

    Haya yanatokea leo karne ya 21. Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma? -------- Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Dkt. Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar

    Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta maendeleo ya Tanzania. Tanzania ilipata mkopo wa ahueni ya UVIKO-19 na maelekezo ya Rais Samia ni...
  15. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumbuliwa kwa kitu ulichokuwa unajifanya kukijua sana?

    Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama. Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Mwegelo akabidhi Baiskeli 200 kwa Watoto wa Kike shule 10 Korogwe

    MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

    Waislamu siwapangii lakini kutokana na maana mbaya ya rangi hizi ni bora tu mbadilishe hii nembo, mnatafsiriwa vibaya sana. Kibaya zaidi ni shule ya kidini bora ingekuwa ya kidunia. Soma pia 👉👉Mamlaka za Saudi Arabia zapiga marufuki bidhaa zote zenye upinde wa mvua ikiwemo nguo na Midoli
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

    Huyu kijana alisoma azania bwana
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wanafunzi almanusura wasombwe na maji wakivuka mto kuelekea shule

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi watatu wa shule ya msingi Lemara waliokolewa baada ya kuzidiwa na maji wakati wakivuka mto huo kwenda...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
Back
Top Bottom