shule

  1. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumbuliwa kwa kitu ulichokuwa unajifanya kukijua sana?

    Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama. Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Mwegelo akabidhi Baiskeli 200 kwa Watoto wa Kike shule 10 Korogwe

    MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

    Waislamu siwapangii lakini kutokana na maana mbaya ya rangi hizi ni bora tu mbadilishe hii nembo, mnatafsiriwa vibaya sana. Kibaya zaidi ni shule ya kidini bora ingekuwa ya kidunia. Soma pia 👉👉Mamlaka za Saudi Arabia zapiga marufuki bidhaa zote zenye upinde wa mvua ikiwemo nguo na Midoli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

    Huyu kijana alisoma azania bwana
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wanafunzi almanusura wasombwe na maji wakivuka mto kuelekea shule

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi watatu wa shule ya msingi Lemara waliokolewa baada ya kuzidiwa na maji wakati wakivuka mto huo kwenda...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DC Chikoka ashiriki katika kukabidhi madawati 250 kwa shule za Wilaya ya Rorya

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameshiriki kukabidhi madawati 50 kati ya Madawati 250 ambayo yametolewa na Bank ya NMB kwa shule 5 zilizopo wilayani hupo kwa lengo la kusaidia kupunguza changamoto ya watoto kukaa chini na kuboresha ufaulu wao. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, DC...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui. Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna wanafunzi wa shule za umma bado wanakaa chini

    Nafikiri ifike mahala watu wamalize hii changamoto jamani. Hivi unajionaje uko mjini unatembelea usafiri wa Nguvu halafu kule kijijini ulikotoka Watoto wanakalia mawe darasani? Na kuna mikoa ina misitu na inauza mbao nayo eti inamatatizo ya madawati; Ni aibu! Naamini hili la madawati na vyoo...
  10. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye ukaguzi shule zote na vituo vyote vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wageni nchini

    Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
  11. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
  12. Madame S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  14. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wadogo zetu msidharau shule. Tunapowakazania msome ni kwamba huko angalau kuna uhakika, nje ya huko uhakika upo ila ni mdogo na wenye misukosuko

    Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa. Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  18. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kutapisha choo choo za shule na kukimwaga mtoni ADHABU yake ni ipi?

    Jf, SALAAM! Yaani hapa KAKONKO mmiliki wa shule binafsi anaeonekana msomi anatiririsha choo kutoka shuleni kwake kwenda MTO MUHWAZI huku akijua maji hayo hutumiwa na wananchi wa Kijiji cha Muganza, Kanyonza, Kumwiyando, Kihomoka, na Ndabulibije!!! Kitendo hiki kimetukatisha tamaa kwa kuwa maji...
Back
Top Bottom