Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,548
3,458
Habarini wadau!

Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni.

Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano syllabus ya somo la Baiolojia na jiografia zimeelekeza vipindi vinne kwa juma lakini ipo miongozo inayoelekeza vipindi vitatu (03) kwa masomo hayo.

Nilichokibaini ni kuwepo kwa mkabganyo mkubwa kwenye suala la ratiba za vipindi hususani katika shule za Sekondari. Ni matumaini yangu kuwa sula hili litaangaliwa.
 
Back
Top Bottom