shule

  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
  2. Madame S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  4. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wadogo zetu msidharau shule. Tunapowakazania msome ni kwamba huko angalau kuna uhakika, nje ya huko uhakika upo ila ni mdogo na wenye misukosuko

    Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa. Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
  7. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  8. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kutapisha choo choo za shule na kukimwaga mtoni ADHABU yake ni ipi?

    Jf, SALAAM! Yaani hapa KAKONKO mmiliki wa shule binafsi anaeonekana msomi anatiririsha choo kutoka shuleni kwake kwenda MTO MUHWAZI huku akijua maji hayo hutumiwa na wananchi wa Kijiji cha Muganza, Kanyonza, Kumwiyando, Kihomoka, na Ndabulibije!!! Kitendo hiki kimetukatisha tamaa kwa kuwa maji...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Fredrick Edward Lowassa aziwezesha Vifaa vya TEHAMA shule za msingi nne

    MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Joshua Nassari wamegawa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Msingi Nne, Shule ya Msingi Losimongori...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

    Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aloyce Kwezi: Bilioni 1.162 Kujenga Shule za Msingi 4 Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua. Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa shule au kusimamishwa shule tukuje hapa

    African Mimi nilisimamishwa shule nikiwa form two kwa muda wa wiki mbili kule Iringa, shule ipo karibu na Lugalo ile ya Serikali jirani yake kuna shule ya private. Nilisimamishwa kwa kosa la kumtukana mtu mbele ya darasa, mwalimu mmoja maarufu kwajina la Uhuchu alisikia kelele Class baada ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wahitimu shule za vipaji maalum

    Wadau, kuna shule ambazo serikali kwa utashi wake ilizitambua na kupeleka wanafunzi ambao inaamini ni vipaji maalum kiakili, mfano, Ilboru, Tabora school(boys and girls), Kibaha, Mzumbe, Kilakala na Msalato. Lengo lilikuwa kuwatumia watu hawa katika kujenga taifa, je, wanaomaliza/waliomaliza...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Jengo la shule lahatarisha usalama wa wanafunzi

    Serikali ya Kijiji cha Kikarara kilichopo Kata ya Old Moshi Mashariki kwa kushirikiana na uongozi wa Shule ya Msingi Matemboni imewalazimu kuwahamisha Wanafunzi kutoka katika vyumba vitatu vya madarasa kutokana na hali ya usalama wa majengo hayo. Wanafunzi waliohamishwa wamechanganywa katika...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda Tueleze matokeo ya Tume ya uchunguzi wa shule inayofundisha ushoga

    Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua kama waziri. Muhimu kabisa, taja shule hiyo ni ipi ili ijulikane kitaifa. Viongozi wa kitaifa TZ...
  19. Thanosendgame

    JamiiForums Tanzania KWELI Viongozi wa kijiji wasadikika kuozesha na kuoa mabinti wa shule, Bariadi, Simiyu

    Taarifa ya kusikitisha kidogo kutoka Kata ya Mwana-Mutombo Kijiji cha Mwasinasi Tarafa ya Nkololo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Diwani kwa jina la Rambo Kidiga anatuhumiwa kuozesha wanafunzi wawili wa kidato cha pili na pia yeye binafsi kufunga ndoa na mabinti wawili wakisadikika kuwa ni...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kalenda ya mihula ya shule 2023 inachanganya walimu

    Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Back
Top Bottom