LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 434
- 1,565
nkukumbuka 2006 ndo naanza darasa la awali huku kati yetu wengi tukiwa hatujui kabisa kiswahili yaani zaidi ya ndiyo, hapana, naomba,
mpaka nafika darasa la pili nilikuwa napata sana shida maana nilikuwa nakubalika na vitoto vya kike vya walimu maana nilikuwa mtu wa hadithi nyingi ambazo tulisimuliwa na bibi yetu kwa kilugha sasa changamoto ilikuwa ni kuzigeuza ili nizihadithie kwa kiswhili, ilinitesa sana hii kitu maana vitoto vinapenda hadithi zangu kinoma ila ndo hivo kuna wakati niliwachanganyia kilugha japo vilikuwa vinaelewa kidogo
mpaka nilipofika darassa la sita nikiwa kama kiongozi wa darasa mwalimu alinipa bangili fulani mtu akiongea kilugha namvalisha na kumwandika jina baada ya kuvalisha watu kama watano wa sita mm mwenyewe maana baada ya kelele kuzidi darasani nilijikuta naropoka, legye kelele