Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,909
- 945
Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara
Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia
Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri kwenye uboreshaji wa ELIMU yetu.
Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa kuwepo Maktaba na Maabara kwenye shule zetu. Vilevile, ameeleza umuhimu wa "space sciences & technologies."
Tafadhali msikilize Prof. Muhongo kutoka kwenye VIDEO/CLIP iliyoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
Jumatano, 17.5.2023